Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Tayari vyombo vya dola vimeanza kuwakamata wagombea wetu pamoja na vijana wanaokuunga mkono hili unaliongeleaje
 
Ahakikishe simu zinaruhusiwa kwenye vituo vya kupiga kura kama uhuru wa kila mtu kupata habari.waizi wakamatwe na ushahidi uwepo
 
Nilijua tu ni ngumu sana kuwa live na kujibu Maswali yote moja kwa moja..
Hapa mmefanya jambo LA mbolea, naamini atapata mda wa kutosha na kujibu maswali yote..

Tuko pamojah JF na Rais wetu mtarajiwa..
Tar 28 zote ni zako
 
Ushauri,
Maswali ambayo very technique unaweza kuyajibu hata kwenye mikutano ya kampeni inayoendelea
 
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?

Ulaji wa ruzuku chadema?

Kuwa kibaraka wa wazungu?

Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?

USSR
Na wewe unahangaisha tu suala la jinsia moja ameshalifafanua mbona ccm hamchoki kupakazia watu we ulitaka kupigwa mti kataa kuna anayekulazimisha bwana
 
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?

Ulaji wa ruzuku chadema?

Kuwa kibaraka wa wazungu?

Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?

USSR

Hili mbona serikali ilishamsaidia kujibu, au ungependa majibu zaidi ya haya mkuu?
IMG_4494.jpg
 
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?

Ulaji wa ruzuku chadema?

Kuwa kibaraka wa wazungu?

Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?

USSR
Kwani wale polisi wanaoua watu wanatumwa na Chadema?
 
Inzi wa kijani mlitegemea hii hoja itawabeba lakini ndio hivyo mambo bado magumu poleni
2020_08_24_06.59.28.jpg

Kwanini usiweke wewe hapa hicho kipengere?

Huyo mwanafaragha wenu kashashindwa kabla hata hajawasili kutoka ubelgiji.
 
Mkuu rais wetu vp kuhusu ulinzi wa kura zako na je mi naiman kuchaguliwa ni jambo moja na kutangazwa ni jambo jingine je utatumia nguvu ip ili kuwafanya nec na ccm yao wakutangaze kuwa mshindi?
 
Tunamtakia kila kheri Rais wetu anayengoja kuapishwa. Tunampenda sana.
 
Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 200) ili kila mmoja ajibiwe. Maswali hapa JF yaliulizwa kupitia > Uchaguzi 2020 - EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii

Aidha, takribani maoni 600 yamekusanywa toka Facebook na mengine takribani 165 toka Instagram; mengine 66 ya Twitter pamoja na wale waliotuma SMS, DM na barua pepe(Email).

Tunatarajia kufikia kesho atakuwa ameyapitia maswali hayo na yote yatajibiwa.

Shukran kwa wote walioshiriki; tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Mwisho wakupokea maswali ni lini ?
 
Mh. Sekta binafsi ni nguzo muhimu katika ujenzi wa uchumi endelevu kwa taifa lolote duniani.

Upi utakuwa msukumo wako kipee juu ya sekta hii; je wafanyakazi sekta binafsi watarajie nini kuhusu maslahi yao ambapo Ni mwaka wa Saba (7) Sasa kima cha chini cha mshahara hakija badilika?
 
Back
Top Bottom