DIZZO MTAWALA
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 240
- 767
Tayari vyombo vya dola vimeanza kuwakamata wagombea wetu pamoja na vijana wanaokuunga mkono hili unaliongeleaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijari mkuu, wakishaAPISHWA, ndipo sasa wataHAPISHWA!Swali langu ni kwa namna gan mawakala watakuwa salama?
Watahapishwa
Na wewe unahangaisha tu suala la jinsia moja ameshalifafanua mbona ccm hamchoki kupakazia watu we ulitaka kupigwa mti kataa kuna anayekulazimisha bwanaLisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?
Ulaji wa ruzuku chadema?
Kuwa kibaraka wa wazungu?
Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?
USSR
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?
Ulaji wa ruzuku chadema?
Kuwa kibaraka wa wazungu?
Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?
USSR
Kwahyo tuliochelewa kuuliza imekula kwetu.Maswali yalisha ulizwa jana wacha kujaza server bure
Kwani wale polisi wanaoua watu wanatumwa na Chadema?Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?
Ulaji wa ruzuku chadema?
Kuwa kibaraka wa wazungu?
Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?
USSR
Kwanini usiweke wewe hapa hicho kipengere?
Huyo mwanafaragha wenu kashashindwa kabla hata hajawasili kutoka ubelgiji.
Mods, angalie maswali ya kufaaMashoga Tanzania wapo siku zote toka uhuru na hawataletwa na Lissu. Mfano ni James Delicious.
Msipitoshe mada
Huyo james wewe ndo mume wake?Mashoga Tanzania wapo siku zote toka uhuru na hawataletwa na Lissu. Mfano ni James Delicious.
Msipitoshe mada
Mwisho wakupokea maswali ni lini ?Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 200) ili kila mmoja ajibiwe. Maswali hapa JF yaliulizwa kupitia > Uchaguzi 2020 - EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii
Aidha, takribani maoni 600 yamekusanywa toka Facebook na mengine takribani 165 toka Instagram; mengine 66 ya Twitter pamoja na wale waliotuma SMS, DM na barua pepe(Email).
Tunatarajia kufikia kesho atakuwa ameyapitia maswali hayo na yote yatajibiwa.
Shukran kwa wote walioshiriki; tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Asante kwa hii kumbukizi!!Hili mbona serikali ilishamsaidia kujibu, au ungependa majibu zaidi ya haya mkuu?
View attachment 1600742
Tell your mom to put on lady pepetaJust One condom could have served the world from this rubbish