Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Ujira mdogo kwa wafnya kazi wasio wakiserikali hasa viwandani n.k...
je utatatua vp changamoto hizi maana baadhi ya watu walobahatika kupata kazi, wanafnya kazi lakini ujira ni mdogo na maisha yapo juu... so umaskini na ugumu wa maisha unakuwa pale pale!!
 
Lisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?

Ulaji wa ruzuku chadema?

Kuwa kibaraka wa wazungu?

Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?

USSR
Kumbe hauna akili hili lilikuwa tamko la serikali
IMG-20201001-WA0066.jpg
 
KILIO CHANGU NI KWENYE MADINI JE HUYU MTU ATAWEZA KUYALINDA ILI YALINUFAISHE TAIFA AM NOT HAPPY WITH MBOWE HAWATATUMIA FURSA NI KUJITAJIRISHA KUPINDUKIA? JE WATALINDAJE KURA ZAO? JE WATAWALINDAJE WALINDA KURA WAO ILI WASINUNULIWE NCHI NZIMA KUTOKANA NA HALI MBAYA MNO YA UKWASI WATU WALIYONAYO/ ENDAPO KURA ZITAIBWA NA WAKAJUA ZIMEIBWA NI NINI WATAFANYA ILI KUTWAA NCHI BILA KULETYA VURUGU WALA KUMWAGA DAMU/
Hapa ukwasi unamaanisha nini? Suala la pili kaa chini andikA vizuri ukipangilia hoja
 
Uzi wa majibu uko wapi? Ama anamajibu yote kwanza ndio apots?
 
Hamucha munyampaa.

Vp uendeshaji wa serikal ya kimajimbo utakavyokuwa?maana unasema tuu utaunda serikal ya majimbo bila kutuambia itakuaje na n zip faida serikal hiyo kwa mie mwananchi wa ilongero ambaye ni mkulima wa mtama?

Kwenye bunge la katiba uliwah kumkashifu mwl.nyerere vp uliwah kufuta maneno yako au bado msimamo wako ni uleule?
Kwa taarifa yako majuzi alilala kwa Mwl Nyerere
 
KILIO CHANGU NI KWENYE MADINI JE HUYU MTU ATAWEZA KUYALINDA ILI YALINUFAISHE TAIFA AM NOT HAPPY WITH MBOWE HAWATATUMIA FURSA NI KUJITAJIRISHA KUPINDUKIA? JE WATALINDAJE KURA ZAO? JE WATAWALINDAJE WALINDA KURA WAO ILI WASINUNULIWE NCHI NZIMA KUTOKANA NA HALI MBAYA MNO YA UKWASI WATU WALIYONAYO/ ENDAPO KURA ZITAIBWA NA WAKAJUA ZIMEIBWA NI NINI WATAFANYA ILI KUTWAA NCHI BILA KULETYA VURUGU WALA KUMWAGA DAMU/
Nani ameweza kulinda madini
 
Mh.ni orodha ya watu wangapi tanzania walionyanganya pasiport zao na uhamiaji
Kutokana na kutoa maoni yao juu ya serekali?
 
Lisu anataka muwe mnafanyiana faraga kwa uhuru,

Kumbuka bado siku 13 tu ili sasa huyo mwana faraga arudi analia kwa beberu wake kule ubelgiji
Ile ofa ya kusuguliwa kule Mbeya bado Sugu hajaifanyia kazi, muhimu uwahi ukamsugue
 
Hamucha munyampaa.

Vp uendeshaji wa serikal ya kimajimbo utakavyokuwa?maana unasema tuu utaunda serikal ya majimbo bila kutuambia itakuaje na n zip faida serikal hiyo kwa mie mwananchi wa ilongero ambaye ni mkulima wa mtama?

Kwenye bunge la katiba uliwah kumkashifu mwl.nyerere vp uliwah kufuta maneno yako au bado msimamo wako ni uleule?
serikali ya chato vp nayo inaenda je?
 
Swali.mh Kuna wakurugenzi wa halimashari zaidi ya 90 waliondolewa kazini mwaka 2016 je bado wanalipwa mishahara?
 
Kama watu wanaojiita viongozi wa dini wanaweza kununulika na kutishwa; je mawakala wa CHADEMA hawatakuwa na bei?

Ni hivi: Tundu Lissu atashinda uchaguzi, lakini ushindi huo atapokonywa kwa nguvu. Hii ndio maana ya hizi nyimbo za "uchochezi", amani na mengi mengine wanazoimba sasa hivi akina Sirro na wengine.

Tundu Lissu hatakiwi kabisa awaeleze waTanzania wakatae dhuluma hiyo.
 
Swali langu na mapendekezo.
Kwanini ndugu Lisu asiende mikoa ya kusini kule watu walioporwa KOROSHO zao na huyu kifashist nduli MAGUFULI
 
Back
Top Bottom