Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hili niswali ambalo hata mimi ningeli liuliza je wasipo apishwa chadema watachukua hatua ganiMimi swali nataka kujua vipi kuhusu mawakala wa upinzani kutokuapishwa maana ndio mchezo wa ccm waliojipanga nao hadi sasa? Chadema wamejipangaje
Huyu ni mgombea wa kiti cha uraisi na sio balozi wa nyumba kumi. Ni jambo la kawaida ratiba kuingiliana kutokana na situation anayo i-faceHivi saa 2 hadi 4 haijafika bado? Au ni masaa ya kidhungu?
muda ni mchache 'we have also other things to do'
Kamwene mnyalukolo ila achaga ujinga nacho amini wahehe hawapo hivyo au we ni akina mapembelo kama ni hao ntakuwa sina shida na we we kabisaUsumbufu " utakaojitokeza"?
Upi huo!!!
View attachment 1600694
Hapa kazi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa....... Mapembelo ni wabunge wetu maarufu mchungaji Msigwa na Sugu!Kamwene mnyalukolo ila achaga ujinga nacho amini wahehe hawapo hivyo au we ni akina mapembelo kama ni hao ntakuwa sina shida na we we kabisa
Nenda katoe ushaidi wa ulaji wa ruzuku za chama. Na maandamano yapo pale pale uchaguzi usipokua wa hakiLisu aje ajibu sakata la yeye kutaka ndoa za jinsia moja ?
Ulaji wa ruzuku chadema?
Kuwa kibaraka wa wazungu?
Kupanga mauaji ya watanzania kwa kuwaweka barabarani wakati yeye akijificha ?
USSR
Kwa hiyo kama maswali yote yalishajibiwa hii thread ni ya nini na matangazo yenye muda mahsusi yalikuwa ya nini?Huyu ni mgombea wa kiti cha uraisi na sio balozi wa nyumba kumi. Ni jambo la kawaida ratiba kuingiliana kutokana na situation anayo i-face
Majibu atayajibu japo sio katika ule muda alioutegemea, lakini maswali karibia yote yaliyoulizwa hapa alikwisha yatolea majibu kiundani kabisa kwenye mahojiano yake na waandishi wa habari
Hakuna sehemu nimesema maswali yote yalishajibiwaKwa hiyo kama maswali yote yalishajibiwa hii thread ni ya nini na matangazo yenye muda mahsusi yalikuwa ya nini?
Umesema *karibia yote*Hakuna sehemu nimesema maswali yote yalishajibiwa
Umeninukuu vibaya
Kwahiyo neno"kasema"ndo fact ya kutolea ushahidi?Katika kampeni ya mwaka 2015 mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Nyehunge nape nauye ali-declare kua ccm itashinda kwa bao la mkono (kinyume na sheria)
Uwizi anao Mbowe alietafuna pesa za michango ya wabunge wa Chadema na michango ya rambirambi za marehemu mawazo wa Geita.Kushindwa na kushinda si aibu ni matokeo ya shindano. Hivyo hata team yenu na mgombea wenu auzoee mchezo .
Uwizi wa kura upo na hata wa kikanuni na kisheria upo. Mfano ni sasa Ccm imeshazawadiwa majimbo 20 na wilaya kama ya misungwi kutakuwa na kura moja ya urais. Huu ni uwizi
"Karibia yote" ni tofauti sana na kauli yako ambayo ulitaka kunilisha kwa kuniwekea maneno mdomoni kua nimedai "yalijibiwa yote"Umesema *karibia yote*
Duuh jamaa kaingia mitini aisee.
Leo hii nikitoa kauli mbele ya hadhara kua NAWATAFUNA nitakuua, halafu baada ya masaa kadhaa kupita ikagundulika umeuawa basi mtu wa kwanza kukamatwa nitakua mimi niliyetoa kauli ya vitishoKwahiyo neno"kasema"ndo fact ya kutolea ushahidi?
alafu unajua alimaanisha nini aliposema bao lamkono?
nyinyi mlikimbilia kwenye wizi wakati yeye hakumaanisha wizi.
Tuliza mshonoUmeandika libarua lireefu halina hata maana zaid ya pumba tuu
PamojaKutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 200) ili kila mmoja ajibiwe. Maswali hapa JF yaliulizwa kupitia > Uchaguzi 2020 - EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii
Aidha, takribani maoni 600 yamekusanywa toka Facebook na mengine takribani 165 toka Instagram; mengine 66 ya Twitter pamoja na wale waliotuma SMS, DM na barua pepe(Email).
Tunatarajia kufikia kesho atakuwa ameyapitia maswali hayo na yote yatajibiwa.
Shukran kwa wote walioshiriki; tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza