Mabula Msirikale
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 1,060
- 2,313
Wazanzibar wana hela za kujiendesha? Tanganyika ndio inawahaudumia.Kwani tokea lini wewe ni mzanzibari?
Wazanzibar wana hela za kujiendesha? Tanganyika ndio inawahaudumia.Kwani tokea lini wewe ni mzanzibari?
Huyu pimbi nae katoka wapi, hiyo ni nchi au mkoa?.Tuwacheni na nchi yetu . Nyinyi nendeni mkaandamane tarehe29
Hajui ujambazi aliotufanyia mama yao, hovyo kabisa halafu huyu nae anajiona wapo juu sijui kwa kipi hapo!.Wewe mwe..hu Kwa mapato mliyonayo Hadi muweze jiendesha?!
Wameshasoma ndiyo maana wanafundisha, au unataka wasome nini, kwanza izo ahadi ni za kisiasa.Mh waambieni waache uvivu wasome
Makanisa ndiyo Sunday School?Ila makanisa yapo, sio?
Kwani kabla uvamizi na hivi Sasa Nani anatupä mapato?Wewe mwe..hu Kwa mapato mliyonayo Hadi muweze jiendesha?!
Umezaliwa lini?Makanisa ndiyo Sunday School?
Kama katiba inasema Selikali yao haina Dini itabidi na wengine walipwe kwa mafundisho yao na huo ndiyo ukweli, au wabadilishe katiba.C&P from FB
MAONI YANGU:
Ahadi ya kuwajumuisha walimu wa madrasa katika mfumo wa malipo ya Serikali ni hoja yenye mvuto mkubwa wa kijamii, lakini kikatiba na kisheria inahitaji tafakuri ya kina. Serikali ya Zanzibar si serikali ya kidini, bali ni serikali ya wananchi wote bila kujali dini au imani zao. Fedha za umma haziwezi kuelekezwa kwenye kundi moja la waumini bila utaratibu wa kikatiba unaolinda usawa wa dini zote.
Swali kubwa hapa ni: fedha hizo zitapitia bajeti ipi? Na je, walimu wa dini zingine kama Wakristo, Wahindu, Wayahudi, au wenye imani za jadi nao watajumuishwa? Ikiwa jibu ni hapana, basi sera hiyo itakuwa na harufu ya ubaguzi wa kidini, jambo linalopingana na misingi ya Katiba ya Zanzibar, Ibara ya 12(2) inayokataza ubaguzi wa aina yoyote.
Ni vyema tukakumbuka kuwa hata kama Zanzibar ina zaidi ya asilimia 98 ya Waislamu, wale wachache wa dini nyingine bado ni raia kamili wenye haki sawa mbele ya Serikali. Haki si hesabu ya idadi, bali ni thamani ya utu.
Maandiko Matakatifu yanatufundisha mipaka kati ya mamlaka ya kiroho na mamlaka ya kiserikali. Yesu alisema, “Toeni kwa Kaisari yaliyo ya Kaisari, na kwa Mungu yaliyo ya Mungu” (Mathayo 22:21). Vivyo hivyo Qur’an inasisitiza: “Kwenu dini yenu, kwangu dini yangu” (Surat Al-Kafirun 109:6).
Hapa tunafundishwa kuheshimiana bila kuchanganya mamlaka ya serikali na imani binafsi.
Kwa hiyo, kama dhamira ni kuwatambua walimu wa maadili na dini, basi iwe kwa mfumo wa haki unaowagusa wote — iwe kwa Mfuko wa Maadili ya Taifa au mpango wa bima ya kijamii usio na ubaguzi.
Serikali isiyowatambua walimu wa madrasa haina maono ya maadili, lakini Serikali itakayolipa walimu wa dini moja pekee haina mizani ya haki.
Zanzibar mpya tunayoitaka si ya upande mmoja wa imani, bali ni ya watu wote, dini zote, na vizazi vyote.
#ZanzibarYaWote #UsawaWaDini #MaadiliNaKatiba
Dr Nagaikaya Thomas M
Dar es salaam
TANZANIA 🇹🇿
@followers
Hii imekaaje Tanganyika wakifanya kitu kama hiki pia. Tutapata pesa kweli za kuwalipa walimu, Madactari, Manurse na watumishi wengine wa umma.Nitaweka historia mpya kwa kuwajumuisha walimu wa madrasa katika mfumo wa malipo ya Serikali, kuwapa mishahara, bima ya afya na hifadhi ya jamii.
Walimu hawa ndio msingi wa maadili, dini na malezi ya taifa, hivyo lazima wapewe heshima na thamani yao. Serikali isiyowajali wao ni Serikali isiyojali mustakabali wa nchi.
source: Official Page Yake
Hii imekaaje Tanganyika wakifanya kitu kama hiki pia. Tutapata pesa kweli za kuwalipa walimu, Madactari, Manurse na watumishi wengine wa umma.
Huu ni ussss.Nitaweka historia mpya kwa kuwajumuisha walimu wa madrasa katika mfumo wa malipo ya Serikali, kuwapa mishahara, bima ya afya na hifadhi ya jamii.
Walimu hawa ndio msingi wa maadili, dini na malezi ya taifa, hivyo lazima wapewe heshima na thamani yao. Serikali isiyowajali wao ni Serikali isiyojali mustakabali wa nchi.
source: Official Page Yake
Zanzibar ni secular state au religious state budget inatoka wapi?..kama sijakosea Kadhi Mkuu wa Zanzibar anateuliwa na Rais wao.
..kwa hiyo kupitia Ofisi ya Kadhi Mkuu wanaweza kutengeneza utaratibu wa kuwalipa waalimu wa madrasa.
..kwa kifupi Watanganyika hatuelewi kwa undani nini kinaendelea Zanzibar. Na kwa ujumla hatupaswi kuwaingilia katika mambo yao.
..Wazanzibari waachwe waamue mambo yao ya ndani kwa uhuru. Na sisi Watanganyika tupewe nafasi ya kuamua mambo yetu kwa uhuru. Mambo ya MUUNGANO ndio yaamuliwe kwa pamoja.
Tarehe 29 oktober utaijuwaHuyu pimbi nae katoka wapi, hiyo ni nchi au mkoa?.
Itavyokuwa , watanganyika haiwahusu , kamtafuteni Polepole ametekwaZanzibar ni secular state au religious state budget inatoka wapi?