Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Sawa tutaonaTarehe 29 oktober utaijuwa
Sawa tutaonaTarehe 29 oktober utaijuwa
InshaAllahSawa tutaona
Kwa amri ya kamanda, subiri uone ,au vipi ?Kama katiba inasema Selikali yao haina Dini itabidi na wengine walipwe kwa mafundisho yao na huo ndiyo ukweli, au wabadilishe katiba.
Kama na wakristo watakubali kutoa zaka hamna shidaHii imekaaje Tanganyika wakifanya kitu kama hiki pia. Tutapata pesa kweli za kuwalipa walimu, Madactari, Manurse na watumishi wengine wa umma.