GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Labda umechoka wewe lakini kama ni Samia hajachoka. Kazi kwenye hii miaka 4 amepiga ya kutosha, na Oktoba tunamuongeza mingine 5 amalizie.

Acha wivu na uzembe iache akili yako ifanye kazi inavyotakiwa, usikariri mambo
 
Reactions: Tui
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
 
Mgombea wako aliongea mpya gani??
 
Sawa. Sio kila mtu LAZIMA ampigie kura Rais Samia na hiyo ndio demokrasia iliyotamalaki Tanzania!
 
Mkuu usitake kufanya watu wajinga. Deni la Taifa limetamkwa wazi tumesikia.
Pili hata ukiweka Deni vs gdp, bado Uganda wana deni dogo zaidi.

Narudisha swali kwako Tanzania debt percent no ngapi ya gdp? Na Uganda ni ngapi? Mkikosea mjisahihishe
48 na 52 ipi kubwa?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-08-28-19-50-23-228.jpg
    287.6 KB · Views: 22
  • Screenshot_2025-08-28-19-49-50-933.jpg
    331 KB · Views: 25
Umesema hajaongea kitu, sasa comments za nini?
 
Reactions: Tui
Hivi Samia akikumbuka ile ibara ya Katiba iliyomwezesha kupata urais atakuwa anajisikiaje.

Maana ni hiyo hiyo inayoweza kumwezesha Nchimbie kuchukua uraisi.

Hiyo ibara inaogofya kwa Rais aliyeko madarakani na inatamanisha kwa Makamu wa Rais.
Nchimbi atakuwa makamu mtiifu kwa bossi wake.
 

View: https://youtu.be/P6jvaORsayA?si=2Lviy87IMGUvvYv5
 
Labda wewe hutaki kuelewa lakini kajieleza vizuri na ahadi alizotoa ni zile zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi hatoi hotuba tu mradi la,anazingatia ilani ya uchaguzi ya chama chake
 
Mkuu usitake kufanya watu wajinga. Deni la Taifa limetamkwa wazi tumesikia.
Pili hata ukiweka Deni vs gdp, bado Uganda wana deni dogo zaidi.

Narudisha swali kwako Tanzania debt percent no ngapi ya gdp? Na Uganda ni ngapi? Mkikosea mjisahihishe
Retract bro, repent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…