GE2025 Mgombea wa CCM hajaongea jipya lolote, ameshindwa kujinadi vyema

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
48 na 52 ipi kubwa?
Sipendi kutumia AI, lakini kwa mtazamo wako huo wa AI overview bado hatuongozi east Africa sababu Burundi wapo chini yetu
Burundi


Pili, amezungumza wazi kuwa ni deni na si Deni kulingana na gdp. Angetaka kumaanisha Deni kulingana na gdp basi angesema.
 
Kiufupi awamu hii siyo ya miradi (mega project) kama umemsikia Mzee wa chalinze kasema awamu hii watanufaika Zaidi.Kama umesoma Cuba utaelewa
 
Hawezi kujenga hoja huyo!
 
Hiyo 72.7 ya world bank huioni siyo!..sasa hivi hutaki tena debt to gdp ratio,rais haongei toka hewani,hivyo vitu huandaliwa na wataalam
Kipimo kizuri cha deni ni kwa ratio ya GDP,sababu vikilingana utapata shida kupata mkopo, maana uwezo wa kulipa huna
 
Huyu ni mgombea kwa niaba ya aliyemtuma, yuko nyuma yake
 
Hiyo contradiction ndio uone kuea source yako haiko sawasawa. Ndio maana nilishangaa wewe kuweka AI overview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…