NYAKATI ZETU
Senior Member
- Jul 16, 2025
- 139
- 154
Bro samahani lakini,Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.
Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.
Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.
Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.
Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.
Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Kujua Deni la Uganda na Tanzania ni kiasi gani inahitaji uwe na taarifa nyeti
Lipo kama marehemu!Nasikia anatangaza mashindano ya nani mwenye deni kubwa nje ya nchi....anasema Tanzania tunaongoza kuwa na deni dogo kwa East africa......
View attachment 3456550
Anaongeaga kama kikongwe kina bembelezaKwani alishawahi kuweza kuongea!...
Sahihi. Ila mm huwaKuna mipango ya wanadamu na kuna mipango ya Mungu....ulijua leo utakua na rais mwingine? 😃
sahihi, ila mm huwa sijisumbui na mambo yaliyo nje ya control ya mwanadam. Yakitoa au yasitokee kwangu ni sawa tu. Naongelea yanayoweza kuamuliwa na wanafamu, ndio nasema tarehe 1.1.2026 Rais wa JMT atakua huyohuyoKuna mipango ya wanadamu na kuna mipango ya Mungu....ulijua leo utakua na rais mwingine? 😃
Atakua kwa sababu tuna katiba mbovuHalafu ujinga ni kwamba tarehe 1.1.2026 Rais atakua huyohuyo
Na bado akasifiwa.Chuki na husuda mbaya.Huwezi kuziba jua kwa ungo.Kuna mwingine kwenye jukwaa kama hilo alisema rais wa iraq ni Gaddafi
Yaani huyu mtabiri feki nae ana QUOTE utabiri usiokuwepo wa Marehemu Sheikh Yahya.JF walishakanusha kwamba huo sio utabiri wa Sheikh Yahya wewe bado upo umegandiana ku unukuu.Ni uzushi tu ulioletwa na wazushi wenzako kutimiza matamanio yao. Rais Samia ataendelea kuwa Rais wa Tanzania upende usipende.Marehemu Shehe Yahya alishawahi kutabiri kuwa akitoka Rais Kikwete atakuja Rais atakayetwala kwa muda mfupi(Magufuli)na baada ya hapo atatokea Rais mwanamke na baada ya hapo upinzani watachukua nchi!
Imethibitika Rais Samia hana ushawishi wowote kuanzia ndani ya chama chake hadi kwa wananchi wote kwa ujumla. Rais Samia licha ya kuwa makamu wa rais kwa miaka 5 anaonekana hajui matatizo ya watanzania na wala hajui watanzania wanataka nini. Serikali ya Rais Samia kila kukicha inajitenga na wananchi wanyonge kwa kuwapatia huduma mbovu sana kwenye kila nyanja. Rais Samia hajui kukemea rushwa na ufisadi. Hajui umuhimu wa viwanda kwa watanzania .
Kutokana na ulegelege huu ikitokea kwenye uchaguzi mkuu akawekwa Rais Samia na Tundu Lisu basi utabiri wa shehe Yahya unatimia asubuhi na mapema kwa Rais Samia kushindwa vibaya sana kwenye sanduku la kura na Tundu Lisu wa chama cha upinzani kuibuka mshindi na kushika dola.
Hiyo picha movie inaitwaje
Hawa hapaAmepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.
Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.
Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.
Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.
Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.
Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Hakuna contradiction,hiyo 72+ ni ya 2024Hiyo contradiction ndio uone kuea source yako haiko sawasawa. Ndio maana nilishangaa wewe kuweka AI overview
Jina lake linaonyesha kwamba anaishi na maumivu tangu JPM alipoaga dunia. Wapo wa aina yake wamejaa mitandaoni.Labda wewe hutaki kuelewa lakini kajieleza vizuri na ahadi alizotoa ni zile zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi hatoi hotuba tu mradi la,anazingatia ilani ya uchaguzi ya chama chake
Huyo mtangulizi alikuwa na kibali gani? Yaani mtu aliye vuruga demokrasia na kuanzisha utekaji na uuaji ndiyo unasema alikuwa na kibali? Kama alikuwa na kibali mbona alikufa siku 120 baada ya kuiba uchaguzi wa Oktoba 2020?Naona giza mbele. Waliomshauri ni kama wameamua kumtwisha mzigo asioweza alafu naona hana kibali kama mtangulizi wake. Hana rehema naona giza totoro inawezekana hatafka huko
Acha porojo za kujifariji bwana Suku gang,ilani imejaa hizo mega projects as per dira 2050.Amepata fursa ya kuzindua kampeni mbele ya umati uliosombwa ukasombeka halafu ameshindwa hata kujinadi vizuri. Anaonekana amechoka, ,kama kalazimishwa kuongea kama vila Bora liende watajua wenyewe.
Daa! Nawezaje kupigia kura mtu wa namna hiyo?
Kama ni hivyo, basi hii itakuwa mara ya nyingine tena CCM imeingia chaka.
Kama hiki kilichoelezwa kwenye ilani ya 2025-2030 ndo Watanzania watafanyiwa big no. Yaani majaribio ya bima kwa afya wazee, kuajiri wakunga na kununua matrekta. Haya watanzania walishaambiwa mno na hakuna kitu.
Mimi sioni kitu kipya na sioni kama yupo serious na nchi kwasababu hakuna hata jambo Moja la kimkakati zaidi kusikia gridi ya maji kitu ambacho kimeimbwa toka uhuru Hadi hapa tulipo.
Hakuna mega project yoyote kwenye ilani. Hakuna hakuna hakuna.
Mgombea ndo kabisa hata hupati hamu ya kumsikiliza.
Kazi kwenu watanzania October kuuza nchi au kubakisha nchi
Sawa, lakini yeye kama yeye ana maono gani kama Rais hususani kupambana na ufisadi, matumizi ya hovyo serikalini...n.k? Kwenye hotuba yake niliona muda mwingi anatusomea na hii muda mwingine inapoteza radha ya kuendelea kumsikiliza.Labda wewe hutaki kuelewa lakini kajieleza vizuri na ahadi alizotoa ni zile zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi hatoi hotuba tu mradi la,anazingatia ilani ya uchaguzi ya chama chake