britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Hahahaha mshenga hapa naona hauoni vuzuriNa kule Twitter umeweka hii habari nikaisome kule?
Hayaoni hayaHivi waziri Hon Jafo yupo nchi hii au kasafiri kwenda nchi ya Kusadikika kama siyo kufikirika?????
Niiombe serikali yetu itangaze matokeo ya uchanguzi leo au kesho watu waendelee na shughuli za kujenga uchumi ili kesho iwahi kufika!!!!!!!!!!
Sababu za kutoteuliwa MAJINA SIO SAHIHI [emoji23][emoji1787][emoji1787] aliweka majina ya wifeNahisi huyo mtendaji ni nabii. Ashaona kuwa hatateuliwa na hata hivyo amemsaidia ili asipoteze muda wake. Haya mambo haya!!!! Yataisha tu.
Mchawi hanaga aibu mkuu. Akikosa cha kuloga hata mbwa koko anapigwa kifafii. Sawa na mwizi tu. Akikosa cha kuiba anachota udongo.Sababu za kutoteuliwa MAJINA SIO SAHIHI [emoji23][emoji1787][emoji1787] aliweka majina ya wife
Mimi ni mwanachama wa cdm tena mtiifu sana.Mgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya uteuzi kufika.View attachment 1250763
Yataisha lini?Nahisi huyo mtendaji ni nabii. Ashaona kuwa hatateuliwa na hata hivyo amemsaidia ili asipoteze muda wake. Haya mambo haya!!!! Yataisha tu.
Naunga hoja mkono. Wapinzani waachane nao. Na hata 2020 waachana nao. Ila ndugu nakuapia ikifika siku ya mwisho kurudisha form au siku mbili kabla ofisi za vijiji na kata zitafungwa na nyasi zitaoteshwa. Hao ndo CCM Wanaopendwa.Yataisha lini?
Muda ni huu sasa wa kufanya maamuzi na kuishauri serikali kutoingia gharama za uchaguzi na badala yake watangaze kuwa wagombea wa ccm wamepita bila kupingwa nchi nzima.
kuona nikuchaguaHayaoni haya
Naunga mkono hoja.Yataisha lini?
Muda ni huu sasa wa kufanya maamuzi na kuishauri serikali kutoingia gharama za uchaguzi na badala yake watangaze kuwa wagombea wa ccm wamepita bila kupingwa nchi nzima.
sawa tuMgombea wa ChademaTz anapewa fomu na msimamizi msaidizi wa uchaguzi, Bi. Diana Kabondo, ambayo imejazwa kuwa hajateuliwa kugombea nafasi ya ujumbe wa mtaa, Mji wa Bariadi, kabla hata siku ya uteuzi kufika.View attachment 1250763