Naunga mkono hoja.
Hon Jafo pls pitia hapa uufanyie kazi ushauri huu murua kaisa ambao utakufanya upate legancy ya kukumbukwa daima, kama siyo milele na milele.
Hawana muda na wapiga kuraWasishangae watu wasipojitokeza kupiga kura
Wewe si bwe.GE tu?Mimi sioni kosa sababu mfano mgombea kaja jina la kitambulisho Cha uraia anasomeka Hamis Juma halafu kwenye fomu ya kuomba kugombea kajaza Asha Ngedere .Nampa fomu ya kumkatalia hapo hapo
Nahisi huyo mtendaji ni nabii. Ashaona kuwa hatateuliwa na hata hivyo amemsaidia ili asipoteze muda wake. Haya mambo haya!!!! Yataisha tu.
Kipindi maalumu TBC - Ushindi wa kishindoSifa zikizidi inakuwa ni aibu, alafu utasikia CCM imepata ushindi wa kishindo cha tsunami
Mbozi nasikia kimewaka! Ofisi za serikali na ccm zimechomwa moto kwa sababu ya figisu za watendaji.Sifa zikizidi inakuwa ni aibu, alafu utasikia CCM imepata ushindi wa kishindo cha tsunami
Inauma sana mkuu.since 1992 yataisha tu kwa maneno hivyo hivyo with no action, hadi unazeeka hivyo hivyo...
KoteNa kule Twitter umeweka hii habari nikaisome kule?
Na Samia anyimweMaelekezo ni kwamba kanda ya ziwa kusiwe na wagombea wa chadema
NooNa kule Twitter umeweka hii habari nikaisome kule?
Mkwepa Kodi uko wapi kamanda au na wewe ulikumbwa na mladi wa CHAUMAMA?Sifa zikizidi inakuwa ni aibu, alafu utasikia CCM imepata ushindi wa kishindo cha tsunami