dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,993
Labda amekimbia mpambano... Chezea Lissu wewe
Ninakubaliana na Waziri mkuu, . . Urais si mchezo, unahitaji mtu;Mgombea wetu wa urais JMT yuko wapi?
Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni?
Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani?
Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
View attachment 1581263
😂😂😂😂 mwambieni apaki mizigo yake vizuri October 28 tunamstaafisha na kumrudisha chatoTulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Ratiba inapnyesha yuko IringaLabda amekimbia mpambano... Chezea Lissu wewe
Ratiba inaonyezha anatakiwa kuwa Iringa na sio kwamba Magufuli yupo Iringa.Ratiba inapnyesha yuko Iringa
Haupo serious, yaani unagombea kuongoza taifa zima halafu unataka watu wasimame kukuongelea hoja zako.Ila Kampeni Zinachosha aiseeeeeeee hata Lissu naye angepata muda kidogo wa kupumzika pia awe wasemaji wengi kwenye timu yake akipanda Jukwaani yeye inakuwa kukamilisha tu yaliyosemwa na wenzie na kuclear baadhi ya sehemu na kuomba kura
Yakula kokoto sasaTulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Tulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Tulishasema ni bora akapumzikie Ikulu huku amezungukwa na Ndege TausiIla Kampeni Zinachosha aiseeeeeeee hata Lissu naye angepata muda kidogo wa kupumzika pia awe wasemaji wengi kwenye timu yake akipanda Jukwaani yeye inakuwa kukamilisha tu yaliyosemwa na wenzie na kuclear baadhi ya sehemu na kuomba kura
Ahahahaaaaa!! Mlimbebesha gunia la misumari inamchoma balaaTulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.