Mgombea wetu wa urais JMT kwa tiketi ya CCM yuko wapi? Leo alitakiwa awe Iringa mjini akimchachafya Msigwa

Mgombea wetu wa urais JMT kwa tiketi ya CCM yuko wapi? Leo alitakiwa awe Iringa mjini akimchachafya Msigwa

Yupo Chato anasikilizia Nyundo za Lissu kwanza
 
Awezii kujichosha kiaasi cha kusema kwamba hana uhakika yani jua liwake lipoe ushindi kwa ccm ni lazima..
 
Ole wenu mumpe miaka mitano, haondoki ng'oo rejea matamshi na Ndugai.
Ndugai ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa kumharibu Jiwe. Alimhakikishia kuwa Bungeni atawamaliza wale wote watakaojaribu kumkosoa Jiwe.
 
Hata wakati wa Corona mlisema hivyo hivyo bwashee!
Naona anasubiri awalipe wakulima wa korosho ili wasimsomeshe namba anapokuwa Kusini.

Ajira katoa japo kiduchu, nimesikia mishahara kaanza kuongeza na pia kuna ndugu yangu kapokea juzi barua ya recategorization baada ya msoto wa miaka mitano.
 
Mabango aliyotawanya nchi nzima hadi vyooni yanaweza kutosha kumtambulisha kwa wapiga kura. Najiuliza aliyelamba hiyo tenda kama sio HARAKAHARAKA PRINTING CO. basi anajua Muumba. Rais ambaye kila siku ya Mungu yuko kwenye media font page kwa miaka mitano, anachafua mazingira kwa mabango utafikiri ndio anagombea mara ya kwanza - wananachi hawamjui!!!
 
Back
Top Bottom