johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Siasa ni sayansi!Nilisikia matangazo atakuwa Iringa kwetu, kila nikikatiza mitaan sion dalili. Yupo wapi au anatibu sindano za Lissu.
Siasa ni sayansi!Nilisikia matangazo atakuwa Iringa kwetu, kila nikikatiza mitaan sion dalili. Yupo wapi au anatibu sindano za Lissu.
Hata wakiweza kumfufua hayati Mkapa wamlete tu ila watz wamemchoka huyo mtu wa BurundiTusishangae kumwona Kinana na wengineo siku za karibuni Mambo si Mambo.
Ki umri Magu ni mkubwa kuliko Lissu hivyo hata stamina haziwezi kuwa sawa.Huu mtiti unahitaji engine kubwa kama ya Lissu isiyochemka haraka haraka
Anafikiria ataendaje kumrudisha hekari 25000 alizoiba karagweMgombea wetu wa urais JMT yuko wapi?
Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni?
Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani?
Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
View attachment 1581263
Mgombea wetu wa urais JMT yuko wapi?
Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni?
Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani?
Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
View attachment 1581263
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mgombea wetu wa urais JMT yuko wapi?
Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni?
Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani?
Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
View attachment 1581263
Lissu alimwambia fungulia vyombo vya habari uache kunichungulia Whatsapp.Huenda anafuatilia kampeni za Lisu kupitia YouTube.[emoji3][emoji3]
Bwashee maandalizi gani wakati anasubiriwa Iringa? Ina maana hamkumpa 'kicheni pati' mapema?Tulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Rais ana majukumu mengi mwacheni apumzikeBwashee maandalizi gani wakati anasubiriwa Iringa? Ina maana hamkumpa 'kicheni pati' mapema?
Nina wasiwasi watu wamegoma kukusanyika Iringa.Bwashee maandalizi gani wakati anasubiriwa Iringa? Ina maana hamkumpa 'kicheni pati' mapema?
Lissu pamoja na kutokea 'kitandani' kwa almost miaka mitatu anaonesha yuko 'fit kalikiti', Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana.Ila Kampeni Zinachosha aiseeeeeeee hata Lissu naye angepata muda kidogo wa kupumzika pia awe wasemaji wengi kwenye timu yake akipanda Jukwaani yeye inakuwa kukamilisha tu yaliyosemwa na wenzie na kuclear baadhi ya sehemu na kuomba kura
Hana sababu ya kuendelea na kampeni kwani yeye bado ni Rais na atakuwa hivyo.Mgombea wetu wa urais JMT yuko wapi?
Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni?
Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani?
Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
View attachment 1581263
[emoji23][emoji23][emoji23] bwashee upo?Siasa ni sayansi!
Achana na umri, kwa special treatment anayopewa prezidaa kisha unazidiwa 'stamina' na mgonjwa aliyekuwa kitandani kwa miaka mitatu akiuguza majeraha ya risasi 16??!!Ki umri Magu ni mkubwa kuliko Lissu hivyo hata stamina haziwezi kuwa sawa.
Bwashee CCM ni chama kikubwa hakuna wa kukichezea![emoji23][emoji23][emoji23] bwashee upo?
Naona Meko atakuwa anakusanya virago vyake pale Chamwino, kashaelewa mnamng'on'ga tu.