Ucikariri mazoeyaHana wasiwasi na Ushindi wa kimbunga
Amekuwa mwari mara hii?😂😂😂😂Tulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Wamepelekewa Moto wa hatari Hadi wamepoteana Hakuna Cha nape,musiba,heri James wamemuachia slow apambane na Hali yake. Tena Kanda ya ziwa ngome yao ndo Moto hatari vipi Kanda zingine, maana mashangazi wanawasubiria, waliozulumiwa korosho zao wanawasubiria.stroke nje ya kujifariji na kudanganya hadhira najua unajua kwa hakika alipo mgombea wenu....!!!
Kumbukeni ....matendo ya Mungu si ya binadamu
TumetuliaTulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Afya muhimu. Kampeni baadaye zitaendelea tuMgombea wetu wa urais JMT yuko wapi?
Amebuni mbinu mbadala ya kufanya kampeni?
Au anajizuia kukasirika kutokana na mambo fulani fulani?
Leo alitakiwa awe Iringa mjini.
View attachment 1581263
Afya ni muhimu kuliko kampeniSiasa ni sayansi!
Anaegelezea hahahaHuenda anafuatilia kampeni za Lisu kupitia YouTube.😀😀
Kiberiti kinasumbua, na Lissu anasumbua kwa makombora yakeRatiba inaonyezha anatakiwa kuwa Iringa na sio kwamba Magufuli yupo Iringa.
Kabla hajaenda anatakiwa kuhakikishiwa kwamba nyomi ya kutosha imeshakusanywa.