Kingine Magufuli sio tu ni mgombea bali pia ni Rais wa nchi so he has got a lot on plate.Achana na umri, kwa special treatment anayopewa prezidaa kisha unazidiwa 'stamina' na mgonjwa aliyekuwa kitandani kwa miaka mitatu akiuguza majeraha ya risasi 16??!!
Kibao kimemgeuki kivip ?2015 alikuwa anamcheka Lowasa kuwa Hana stamina, akaenda mbali hadi kupiga push-ups.
Naona kibao kimegeuka
Pumzi imekata ghaflaKibao kimemgeuki kivip ?
HahahahaaaMagufuli moto umekata, hana tofauti na Gari la mkaaa tripu shamba, tripu gereji.
Hapana chezea Lissu.. Kabisa kabisa
Hayo amejitakia mwenyewe, angeona majukumu ni mengi alikuwa na fursa ya kubadili katiba kwa sasa nchi ilipaswa kuwa chini ya Jaji mkuu wakati yeye ni mgombea kwa hiyo msilete cheap excuses.Rais ana majukumu mengi mwacheni apumzike
[emoji23][emoji23][emoji23] chama kikubwa mgombea kajificha?!Bwashee CCM ni chama kikubwa hakuna wa kukichezea!
Mnamvisha napkin/pampas?Tulieni nyie wakati tunamuandaa mgombea wetu kuchukua mitano mingine.
Hata wakati wa Corona mlisema hivyo hivyo bwashee![emoji23][emoji23][emoji23] chama kikubwa mgombea kajificha?!
Wasije beba mpaka alshabab wa Msumbiji, maana si mbali sana, just kuvuka mto Ruvuma tuRatiba inaonyezha anatakiwa kuwa Iringa na sio kwamba Magufuli yupo Iringa.
Kabla hajaenda anatakiwa kuhakikishiwa kwamba nyomi ya kutosha imeshakusanywa.
Anafanya nini humo?Muda wa kampeni utaongezwa au Uchaguzi utafutwa?.Mzee ni mgonjwa?Yupo chamwino
Labda amekata tamaa kama mzee Rungwe lissu anawasha Moto kila leoAnafanya nini humo?Muda wa kampeni utaongezwa au Uchaguzi utafutwa?.Mzee ni mgonjwa?
Tuna Haki ya kuambiwa Ukweli,yaani Mzee akae tu Chamwino huku joto mtaani ikiwa >40°c?
Halafu shida nyingine leo ni weekend hivyo sio rahisi kuwakusanya wanafunzi, labda kwa pale Iringa wawachukue wanafunz wa shule za Bweni kama pale Iringa girls, Lugalo na kule wilolesi kwa Fr Ulungi, mndamba mwenzangu.Wasije beba mpaka alshabab wa Msumbiji, maana si mbali sana, just kuvuka mto Ruvuma tu
Heshimu wakubwa zako mkuuMnamvisha napkin/pampas?
Sio rahisiPumzi imekata ghafla
Tanzania ni nchi ya amaniyupo chamwino anatafuta nchi ya kukimbilia baada ya Oct 28.
Anaheshimu katiba ndio maana kaiacha kama ilivyoHayo amejitakia mwenyewe, angeona majukumu ni mengi alikuwa na fursa ya kubadili katiba kwa sasa nchi ilipaswa kuwa chini ya Jaji mkuu wakati yeye ni mgombea kwa hiyo msilete cheap excuses.
Mbona wapo kina Dr. Marcos Albanie na kina Ally BanagaIla Kampeni Zinachosha aiseeeeeeee hata Lissu naye angepata muda kidogo wa kupumzika pia awe wasemaji wengi kwenye timu yake akipanda Jukwaani yeye inakuwa kukamilisha tu yaliyosemwa na wenzie na kuclear baadhi ya sehemu na kuomba kura