Mgombea wetu wa urais JMT kwa tiketi ya CCM yuko wapi? Leo alitakiwa awe Iringa mjini akimchachafya Msigwa

Yupo Chato anasikilizia Nyundo za Lissu kwanza
 
Awezii kujichosha kiaasi cha kusema kwamba hana uhakika yani jua liwake lipoe ushindi kwa ccm ni lazima..
 
Ole wenu mumpe miaka mitano, haondoki ng'oo rejea matamshi na Ndugai.
Ndugai ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa kumharibu Jiwe. Alimhakikishia kuwa Bungeni atawamaliza wale wote watakaojaribu kumkosoa Jiwe.
 
Hata wakati wa Corona mlisema hivyo hivyo bwashee!
Naona anasubiri awalipe wakulima wa korosho ili wasimsomeshe namba anapokuwa Kusini.

Ajira katoa japo kiduchu, nimesikia mishahara kaanza kuongeza na pia kuna ndugu yangu kapokea juzi barua ya recategorization baada ya msoto wa miaka mitano.
 
Awezii kujichosha kiaasi cha kusema kwamba hana uhakika yani jua liwake lipoe ushindi kwa ccm ni lazima..
Jiadanganye tu. Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025 ni Tundu Antiphas Lissu
 
Mabango aliyotawanya nchi nzima hadi vyooni yanaweza kutosha kumtambulisha kwa wapiga kura. Najiuliza aliyelamba hiyo tenda kama sio HARAKAHARAKA PRINTING CO. basi anajua Muumba. Rais ambaye kila siku ya Mungu yuko kwenye media font page kwa miaka mitano, anachafua mazingira kwa mabango utafikiri ndio anagombea mara ya kwanza - wananachi hawamjui!!!
 
Nilisikia matangazo atakuwa Iringa kwetu, kila nikikatiza mitaan sion dalili. Yupo wapi au anatibu sindano za Lissu.
Sera haziimbiiki kabakiia kucheza show majukwaani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…