Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Si mlisema JPM ameharibu uwekezaji na wafanya biashara? Sasa haya maandamamo yanatokea kwa huyu aliyeleta maridhiano.. ukweli upo wapi?
Uongo unapanda lift na ukweli ndo hupanda ngazi taratibu ule unafiki unaaza kuisha .ukienda kariakoo ukiwaliza wafabyabuashara watakuambia ni bora kipindi cha mag mara 10
 
Hakuna mgomo usio na kikomo hapo[emoji1787][emoji1787]kesho watafungua frem hizo,mark my words [emoji1787][emoji1787]
Wafanyabiashara wa karaiko sio makapuku kama ww ni watu wenye uchumi wa kati wanaweza kuisha hata kwa miez 3 bila kufanya kazi
 
Sijawahi na pengine sitakuja kuwahi kuelewa hizi kodi zinavyokatwa
Mzigo ukifika bandarini unatokutana na tra
Mzigo huohuo ukifika dukani unakutana tena na tra

Sasa najiulizaga yule tra wa bandarini ni tofauti na huyu wa dukani????
Na km wote ni TRA, hizi kodi za mara mbilimbili zinalenga Kuna custom revenue ns domestic revenue ila kiukweli kodi Tanzania nikubwa mnoo Yaani bandari unakadiriwa na dukani unakadiriwa kikubwa ili uchumi ukuwe ni Cust tax ndiyo kukuza uchumi siyo kurundika makodi
 
Back
Top Bottom