Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kila polisi na mahakama zisimamie kuwajibisha mafisadi na wabadhirifu wa mali za uma sheria inavyostahiliKila mfanyabiashara azingatie kulipa kodi kama inavyostahili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila polisi na mahakama zisimamie kuwajibisha mafisadi na wabadhirifu wa mali za uma sheria inavyostahiliKila mfanyabiashara azingatie kulipa kodi kama inavyostahili!
Ha ha ha... Kama kawaida....Hahahah mnaenda kutega mingo
Unajifanya hujui kusoma au!? Najua umenielewa , lakini jibu lako laweza kuwa "kuntula"Kipindi cha JPM si ndio maduka yalikuwa yanawekwa kofuli na biashara nyingi zikafungwa? Au upo kulinda legacy?
Na huko mipakani hakuna TRA? Nadhani point ni kwamba waje ma mfumo wa kukwangua kodi yite mara 1 basi..waangakie kama ni nguo inalioiwa kodi kiasi gani toka bandari hadi inaoomfikia mvaaji. Hiyo kodi ipigwe 1 time oale bandarini ama mpakani basi. Then yule anayeingiza ndo akwanguliwe hiyo kodi naye apandishe bei ili kodi yote alipe yeye. Am sure inawezekanaendao TRA wataamua kuwaza. Tatizo la nchi nyingi tunapenda kukoy tu system ya nchi nyingine bila kutaka kukaa chini na kuja na system yetu.Sio kila bidhaa inayouzwa inapitia bandarini, nyingine zinapitia mipakani ambapo Tanzania inazungukwa na nchi nyingi. Nyingine zinazalishwa ndani ya nchi
Sababu ya kula Bata sana saa ngapi tutapata muda wa kufikiri sana na kupata majibu mapya ya kutatua matatizo yetu ?! Wazungu Wanasemaga If you think hard enough problems could always be solved, but you have to think and think and think and then remember!!Na huko mipakani hakuna TRA? Nadhani point ni kwamba waje ma mfumo wa kukwangua kodi yite mara 1 basi..waangakie kama ni nguo inalioiwa kodi kiasi gani toka bandari hadi inaoomfikia mvaaji. Hiyo kodi ipigwe 1 time oale bandarini ama mpakani basi. Then yule anayeingiza ndo akwanguliwe hiyo kodi naye apandishe bei ili kodi yote alipe yeye. Am sure inawezekanaendao TRA wataamua kuwaza. Tatizo la nchi nyingi tunapenda kukoy tu system ya nchi nyingine bila kutaka kukaa chini na kuja na system yetu.
Hapa utaona mtu anasema "nchi zote hadi ulaya ndo zinavofanya". Hakuna jibu huwa linanikera kama hilo. Binadamu tumepewa akili, tuitumie kufikiria na kuja na mawazo mapya ambayo hawajawahi kufanyika sehemu nyingine. Haya mambo ya kuiga iga tu badala ya kukaa chini na kuja na mawazo mapya ndo yanaleta shida zote hizi. Tunaishia kuiga systema za watu badala ya kukaa chini tukasoma mazingira yetu na kuja na mfumo mzuri
Zungu bado anautaka Ubunge wa Ilala !!Mmmh hii ngumu kumeza Yaani CCM itumie mgomo kuishinikiza Serikali ya CCM itekeleze madai ya wafanyabiashara.
Wakati huohuo Mwenyekiti wa CCM ndiye Rais.
Watu wa TRA ndo wanachokipenda hicho kitu kww kuwa ukimfuata mfanyabiashara utapewa fungus lakoHivi kweli hatuwezi kuja na mfumo mmoja tu TRA pale bandarini kuchukuwa kodi mara moja ili mzigo ukitoka basi watu wasisumbuane? mbona kwenye mafuta wameweza mzigo kwenye meli unakatwa kila kitu basi unaingia sokoni. Kuna nini hii kila siku kukimbizana wakati Tech imekuwa sana kuna njia za kuchukuwa mapato kwa njia ya kisasa tu badala ya haya mambo ya double taxation watu hakuna kuaminiana kwanini lakini? kodi kulipa ni haki basi tuweke mfumo utakaonekana ni wa haki.
Na wafanyabiashara walikuwa na heshima kwa kwa kuwa walioiwa wanaona kabisa thamani ya kodi zao .maafisa wa TRA waliokuwa wanaomba rushwa walifukuzwa kaziKipindi cha JPM wafanyabiashara halali walikuwa wanasikilizwa vizuri na kero zao zinatatuliwa. Lakin sasa serikali ya KULA KWA UREFU WA KAMBA TRA wanakula kwa urefu wa kamba zao na hakuna anayejali sawa
Mambo ya kishamba hasa na matai yaoMimi sijaongelea bandarini tu nimesema TRA kwani unaweza kupita mpakani, bandarini au airport bila uwepo wa TRA? wako kila entry ya nchi waweke mfumo wa kisasa kukusanya kodi sio mambo ya kuviziana madukani mambo ya kishamba sana.
Wanashindana kununa harriers na rav 4 za mwaka 2022TRA ni taasisi yenye watu wapumbavu, wivu wivu wivu sumu kubwa iliyotamalaki kwa mioyo yao, tamaa tamaa hawana maadili wapumbavu hao.
Hapa unamsema yule waziri wa mawasilianoKuua uchumi ili wale mabwanyenye wapate mkate wao wakila siku. Si unaona yalivyonenepeana hadi yanashindwa kupumua kama viboko.
How fire wanafanya nini kwenye buashara na kazi yao ni ipiLeo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya
Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa
1: TRA.
2: FIRE.
3: JIJI.
4: USAFI.
5: Kodi ya store.
6: Makato 10% kweny commission (watu wa mihamala)
7: Kodi yakupeleka lori kkoo kubeba au kushusha mizigo
Makadilio ya kodi yamekua makubwa mno kiasi kwamba mtu akiangalia biashara yake na kodi haviendani. Kupungua kwa wateja wa nchi jirani kama Kongo,Zambia,Zimbabwe kutokana na kero ya TRA
Kwa wanaofnya biashara ya kusafirisha mizigo Jioni lzm TRA waje wafanye tasmini na Rushwa yao wanataka 3M kutokana na ukubwa wa mzigo
Thank you for for nice comments. Hata brela registration kipindi cha kupata registration ilikuwa ni msululu kweli kweli na huko Kato ilikuwa ni lazima uache pesa ndo ikeja online registration ugodi father ukafaHuko kusumbuana ni neema kwa wafanyakazi wa Tra!! Ndipo wanapopatumia kuleta ubabaishaji kwa walipakodi ili wapate rushwa
Mambo yakinyoooka kama tech inavyoruhusu kuna watu watakufa njaa
Anasadishaje wakati ndo kwanza anawarudisha na kuwapa uongozi wa nchi waamue kwa niaba yetuSerikalini kumevamiwa na majambazi
Mama assfishe korido zake
Taarifa anazooewa na wataalam wa idara azifanyiekazi kuokoa uchumi wetu
Kila duka Mtungi lazima na certificate ya Fire,How fire wanafanya nini kwenye buashara na kazi yao ni ipi
Hapana hao watu huwa wanjizima data kwa kuweka flight modeMuilize Dr. Ulimboka awamu ya nne alifanywa nini alipokuwa kiongozi wa mgomo wa madaktari.