ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
TRA kamatieni hapo hapo ,hakuna mfanyabishara analipa Kodi Kwa hiari wote Huwa wanakwepa Kodi na risiti hawatoi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usirudie kufananisha nguruwe na vitu vya ajabu hayo maviongozi yenu ni manyumbuTRA ni mamlaka inayokubali kutumika kifisadi kwaajiri ya kuwaridhisha na kuwapa hawa ma'CCM pesa za kirahisi rahisi.
Ukijaribu kutazama mfumo wa kodi umekaa kidalali sana. Kuanzia kutax magari used yanayoingia kutoka Japan, mizigo ya viwandani kutoka China etc.
Unanunua gari milioni 4 kodi milioni 9, na hakuna raia ambaye ameshitaki mahakamani hadi sasa. Hawa nguruwe ndio wanaochochea mfumuko wa bei na kuharibu ukuaji wa SME's halafu ukiyakuta ya kwenye mijadala ya kitaifa yanavyojinasibu kuhusu uzalendo na kujitoa kama taifa unagundua hawa wanaojiita viongozi hakuna kitu ni vishoka wa mataifa ya magharibi hakuna mwenye utimamu wa kusimamia uzalendo hata m'moja kudadadeki zao.
Huko nako zinakovuka kuna mamlaka ya forodha.Sio kila bidhaa inayouzwa inapitia bandarini, nyingine zinapitia mipakani ambapo Tanzania inazungukwa na nchi nyingi. Nyingine zinazalishwa ndani ya nchi
Mfanyabiashara ndiye anafanya wewe mtumishi ulipwe mshahara .Mtumishi yeyote wa Umma analipa Kodi kubwa kuliko nyie wakwepa Kodi..
Serikali ingeondoa Kodi Kwa Watumishi Ili ibakie Kwa Wafanyabiashara, mtumishi anatoka Huduma Kodi ya nini kwake?
Hata huko mipakani nani angekwepa kulipa Kodi kama Kodi za hapa Tanzania zingekua rafiki kwa walipa Kodi? Mfano shati iliyoingizwa Uganda toka China utakuta Kampala Uganda bei ya leja leja inauzwa sawa na Tzs 3500. Lakini Shati hiyo hiyo imengizwa Tanzania toka China Kariakoo inauzwa bei ya jumla sawa na Tzs 14500. Ili Shati hilo liuzwe kwa bei ya leja leja sawa Tzs 15000. Kwa hapo ni nani anaye chochea biashara ya magendo mipakani? . Mfano mwingine kwenye mpaka wa Tanzania na Zambia, kwa vile Kodi ya vitenge Tanzania ni kubwa sana, vitenge vilivyoingia Zambia kutoka China kupitia Bandari ya Dar, bei ya Zambia ni nusu ya bei ya Tanzania hivyo wafanyabiashara wanajaribu kuingiza vitenge Tanzania kutoka Zambia. Na kwa sababu Kodi ya Tanzania ya kishenzi ikitozwa hicho kitenge bei yake inaendelea kuzuia mzunguko wa biashara, mfanyabiashara atatafuta njia ya kukwepa Kodi.Hiyo comment yangu ni jibu la comment nyingine. Na kuna kitu umekikwepa umechukua kipande chako wacha nikuulize hapa.
Muuza madawa yaliyotengenezwa Tanzania ambayo hayajapita bandarini na mipakani hastahili kulipa kodi? Ukikata kodi mpakani na bandarini analipaje yeye.
Ulishawahi vuka mipaka ukaona mianya ya kupita bila kukaguliwa. Kule Arusha, Kilimanjaro na Tanga kuna mamia ya kilomita za mpaka na Kenya ziko wazi watu wanavuka. Mpaka sio ile border post pekee. Sasa hawa watalipaje kodi mpakani.
Simaanishi nawapinga ila jenga hoja isiyo na mashaka msije onekana mnakwepa
Bila shaka wale wafanyabiashara za halali hawakuwa na shida na mwendazakeWana bahati wangefanya huo mgomo kipindi cha mwenda zake, sasa hivi tungekua tuna hesabu maiti za viongozi wa hilo soko.
Kwani salary ni.hisani Kwa mtumishi? Bila kutoa services biashara gani ya maana utafanya wewe?Mfanyabiashara ndiye anafanya wewe mtumishi ulipwe mshahara .
Mama anatakiwa azifuate au alizitunga yeye ? Maana tuliambiwa Serikali ya Dikteta ilikuwa ina utitili wa kodi kandamizi?utitiri wa kodi ni LAANA
Na wewe unazijua sheria za wananchi?Kuna ubaya gani TRA kuwataka muorodheshe store zenu mnazohifadhia mali? mnaficha kitu gani? wanataka wazifahamu ili wawe wanazikagua, kwasababu huko Kariakoo kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi.
Hata kama hizo kodi zinatumika hovyo serikalini, vyema store zenu zifahamike, ili mkiwatoroka bandarini mkakutane nao store, anyway niwapongeze hao wafanyabiashara kwa uthubutu wao, hata kama sikubaliani na madai yao.
NB.
Hao jamaa wanasema mfanyabiashara mwenzao yeyote atakayefungua duka ni halali yao, hivi wanazijua sheria za nchi?
Amkumbuke nani na kwa lipi?Mtanikumbuka
Wewe unabiashara au ndo vile tumbo kuna wakati linasemea ulimi?Kuna ubaya gani TRA kuwataka muorodheshe store zenu mnazohifadhia mali? mnaficha kitu gani? wanataka wazifahamu ili wawe wanazikagua, kwasababu huko Kariakoo kuna ukwepaji mkubwa sana wa kodi.
Hata kama hizo kodi zinatumika hovyo serikalini, vyema store zenu zifahamike, ili mkiwatoroka bandarini mkakutane nao store, anyway niwapongeze hao wafanyabiashara kwa uthubutu wao, hata kama sikubaliani na madai yao.
NB.
Hao jamaa wanasema mfanyabiashara mwenzao yeyote atakayefungua duka ni halali yao, hivi wanazijua sheria za nchi?
Mfumo wa Kodi wa nchi yetu ulibuniwa enzi za Mwalimu, wakati nchi ikiwa na azma ya kujenga uchumi wa kijamaa. Ujasiriamali ulitambulika kama ubepari ambao ulikuwa moja ya vitu vya kupigwa vita. Mfumo wa Kodi ulibuniwa pamoja na mambo mengine pia kupambana na ubepari, na ndio maana masharti ya mtu binafsi kuingia katika biashara yoyote ile yalifanywa kuwa magumu na viwango vya Kodi vikawekwa vya kukatisha tamaa. Bidhaa kama magari, fridge hata radio ziliitwa luxury goods na kubambikwa kodi hizi tunazoziona sasa.TRA ni mamlaka inayokubali kutumika kifisadi kwaajiri ya kuwaridhisha na kuwapa hawa ma'CCM pesa za kirahisi rahisi.
Ukijaribu kutazama mfumo wa kodi umekaa kidalali sana. Kuanzia kutax magari used yanayoingia kutoka Japan, mizigo ya viwandani kutoka China etc.
Unanunua gari milioni 4 kodi milioni 9, na hakuna raia ambaye ameshitaki mahakamani hadi sasa. Hawa nguruwe ndio wanaochochea mfumuko wa bei na kuharibu ukuaji wa SME's halafu ukiyakuta ya kwenye mijadala ya kitaifa yanavyojinasibu kuhusu uzalendo na kujitoa kama taifa unagundua hawa wanaojiita viongozi hakuna kitu ni vishoka wa mataifa ya magharibi hakuna mwenye utimamu wa kusimamia uzalendo hata m'moja kudadadeki zao.
Ukiagiza mizgo ujue Tax charges ni almost 100% ya invoice. Angalia jinsi serikali isivyo fair.Sijawahi na pengine sitakuja kuwahi kuelewa hizi kodi zinavyokatwa
Mzigo ukifika bandarini unatokutana na tra
Mzigo huohuo ukifika dukani unakutana tena na tra
Sasa najiulizaga yule tra wa bandarini ni tofauti na huyu wa dukani????
Na km wote ni TRA, hizi kodi za mara mbilimbili zinalenga nini????
Wote hamfai tu liccm halifai na upinzani haufai, si unaona sasa hivi wamelambishwa asali wamekaa kimya? Umeona kuna kiongozi wa upinzani amepiga kelele hata kwenye ripoti ya CAG?
Kipindi cha Magufuli upinzani walipiga sana kelele sababu hawakupata tonge.
Ndio maana nakuambia watanzania wameshajua upinzani ni wachumia tumbo tu sioni utofauti wa upinzani na liccm linalotunyonya damu mpaka tumebakiza mifupa tu.
huu mgomo umejazwa matiushio kwa wanaotaka kufungua maduka, serikali iwachukulie hatua kali wachache wanaowatisha wengine wasifungue maduka
Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya
Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa
1: TRA.
2: FIRE.
3: JIJI.
4: USAFI.
5: Kodi ya store.
6: Makato 10% kweny commission (watu wa mihamala)
7: Kodi yakupeleka lori kkoo kubeba au kushusha mizigo
Makadilio ya kodi yamekua makubwa mno kiasi kwamba mtu akiangalia biashara yake na kodi haviendani. Kupungua kwa wateja wa nchi jirani kama Kongo,Zambia,Zimbabwe kutokana na kero ya TRA
Kwa wanaofnya biashara ya kusafirisha mizigo Jioni lzm TRA waje wafanye tasmini na Rushwa yao wanataka 3M kutokana na ukubwa wa mzigo
Chadema na Act ni Branch za CCM