Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

Si mlisema JPM ameharibu uwekezaji na wafanya biashara? Sasa haya maandamamo yanatokea kwa huyu aliyeleta maridhiano.. ukweli upo wapi?
Uongo unapanda lift na ukweli ndo hupanda ngazi taratibu ule unafiki unaaza kuisha .ukienda kariakoo ukiwaliza wafabyabuashara watakuambia ni bora kipindi cha mag mara 10
 
Hakuna mgomo usio na kikomo hapo[emoji1787][emoji1787]kesho watafungua frem hizo,mark my words [emoji1787][emoji1787]
Wafanyabiashara wa karaiko sio makapuku kama ww ni watu wenye uchumi wa kati wanaweza kuisha hata kwa miez 3 bila kufanya kazi
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…