jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Akili mgando kwenye dunia hii ya soko huria,kama wanaona bajaji wanapata hela sana wauze daladala nawao wanunue bajaji. Huwezi mchagulia abiria apande usafiri gani,kwanza bajaji haikai foleni pili bajaji inakufikisha hadi mlangoni kwako.