Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

Akili mgando kwenye dunia hii ya soko huria,kama wanaona bajaji wanapata hela sana wauze daladala nawao wanunue bajaji. Huwezi mchagulia abiria apande usafiri gani,kwanza bajaji haikai foleni pili bajaji inakufikisha hadi mlangoni kwako.
 
Kweny usajili huo waliambiwa wao tu ndo wana hati miliki ya uchukuz ndan ya hizo route ? Je unampangia abiria?
Tatizo halipo kwenye hati miliki ya route wala kuwapangia abiria, tatizo lipo kwenye kufuata sheria.

Kibali cha bajaji ni kufanya kazi kama taxi. Taxi zinakuwa na kituo abacho kimesajiliwa kisheria na zinajulikana ni taxi/magari mangapi yanapaswa kuwepo pale. Huwezi toka unakotoka ukapark kwenye kituo ambacho si sehemu yako na kupakia abiria hapo.
Daladala zimepangiwa route, na kama mtu atatoka nje ya route yake, lazima awe na kibali toka mamlaka husika, vinginevyo atachukuliwa hatua za kisheria.

Sasa hizi bajaji zimepangiwa route ipi na vibali walivyo navyo vinawaruhusu kufanya wanacho kifanya?

Yanayoendelea yanalilazimishi kuamini yafuatayo:

1: Hizo bajaji zinamilikiwa na hao wenye mamlaka ya kusimaia sheria

2: Hizo bajaji ni mradi wa chama fulani chenye mamlaka nchini

3: Wamiliki wa bajaji wanauwezo kuliko serikali

4: Wasimaizi wa sheria za usafirishaji wamepaya na hawastahili tena kuwepo kwenye ofisi za serikali wakilipwa mishahara inayotokana na kodi za wananchi.
 
Baadhi ya pambio zilizotikisa miaka hii ya upigaji mnada na uuzwaji wa mali za Taifa ;

ANA UPIGA MWINGI

ANA FUNGUA NCHI

NANI KAMA MAMA

MITANO KWA MAMA

SISI NA MAMA

RAISI MZALENDO

Umaskin ni mbaya xnaa..always unafanya mtu awaze kua anaibiwa
 

Wabongo tuna asili ya roho mbaya.na hii yote ni kwa sababu ya umaskin
 
Arusha msituondoe kwenye Mada: BANDARI KWANZA
 
No 1 ndiyo hasa jibu sahihi.
 
Kwa hiyo shida ni aina ya gari na na si jina DALADALA. VIPI BAJAJI HUKO ZINAFANYA KAZI KAMA HAYO MABASI?
wameru mnaubishi wa kijinga sana..biasharainapaswa kuwa huria mkuu kinachotakiwa ni kuzipa maeneo ya kufanya kazi na mipaka yao basi
 
Binafsi naona Kuna vitu vingine si vya kulazimisha. Kama daladala hailipi unaamia kwenye bajaji. Kama abiria wanaprefer bajaji ni suala la muda tu.
 
Akili mgando kwenye dunia hii ya soko huria,kama wanaona bajaji wanapata hela sana wauze daladala nawao wanunue bajaji. Huwezi mchagulia abiria apande usafiri gani,kwanza bajaji haikai foleni pili bajaji inakufikisha hadi mlangoni kwako.
Ukishindwa kuelewa vitu vidogo kama hivi, basi swala la mkataba wa bandari na DP ndio huwezi kuelewa chochote.
 
Nilifiki bukoba ndo kuna stendi mbovu tu...kumbe hadi arusha?
 
Hawataki na wenzao wa bajaj wapate sio
Inshu sio kwamba hawatakiwi,inshu ni kwamba bajaji kila siku zinasajiliwa halafu ukiangalia kodi wanayolipa ni ndogo saana wakati huo huo hiace hazipewi usajili mpya,Haya kwa upande mwingine zimesajiliwa coaster ukiangalia ila sasa biashara hamna sababu ya bajaji
 
Hatuhitaji bajaji barabaran kwa sasa zilizopo zinatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…