Mgomo wa Daladala Jijini Arusha asubuhi hii ya Julai 3, 2023

Bajaji wanaua biashara za wenzao
 
Nimesoma baadhi ya comments za wajinga Fulani hapo juu nimeshangaa wanasapoti UJINGA wa bajaj bila kujua kuwa mamlaka haziruhusu bajaj kuingia katikati na kupakia abairia kama daladala...
Serikali inatoza tozo nyingi Sana kwenye daladala na wanatolewa macho kuanzia halmashauri, traffic,na TRA
 
HAO BAJAJI NAO TAMAA MNO...WANGEENDELEA WENYEWE NA BEI ILE ILE...NA WANGEFANYA BIASHARA VIZURI TU...NA HAO DALADALA WANGERUDU WENYEWE KWA NJAA...

ILA WABONGO TUNAUMIZANA WENYEWE KWA WENYEWE. UNAKUTA BAJAJI ALIKUWA ANATOZA NAULI HATA CHINI YA NAULI YA DALADALA...ALAFU GHAFLA KWENYE MGOMO WA DALADALA ATOZA BUKU...HIYO SI TAMAA NA ROHO MBAYA.
 
Ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kuona mtu anagoma kisa tu bajaji zinafanya kazi kama zao,huu ni ubinafsi na roho mbaya,pumbavu kabisa
 
Bajaji zimeharibu sana ruti za daladala. Mbeya waligoma na baadae wakarudi road wenyewe.
Dar kuna bajaji za kibamba hadi manzese 🤣🤣🤣
 
very soon bajaj wataanza kupakia abiria dsm -moro..
 
Ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kuona mtu anagoma kisa tu bajaji zinafanya kazi kama zao,huu ni ubinafsi na roho mbaya,pumbavu kabisa
Usitukane kabla hujajua changamoto zilizoko.Lazima kuna hoja za msingi zawao kufanya hivyo.Na mara nyingi migomo inakuja baada ya ufumbuzi kukosekana.
 
Vichwa vyetu vina shida sana.ni mwendo wakukurupuka tu.
 
Akili mgando kwenye dunia hii ya soko huria,kama wanaona bajaji wanapata hela sana wauze daladala nawao wanunue bajaji. Huwezi mchagulia abiria apande usafiri gani,kwanza bajaji haikai foleni pili bajaji inakufikisha hadi mlangoni kwako.
Mzazi anakuja na watoto anapakia kwenye daladala afu yeye anaenda panda bajaji
 
Huu mgogoro haunaga suluhu..
Watu wa Daladala hamna budi kuvumiliana na wenzenu..

Kila mmoja anajitafutia siku.
 
Na sisi abiria tutagoma kupanda daladala zao
Wanatuomea abiria
Tumewahi vituoni tuwahi makazini hakuna magari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi mnayoo hukoo
 
niliona watu wamepanda guta.. inasikitisha
 
wameru mnaubishi wa kijinga sana..biasharainapaswa kuwa huria mkuu kinachotakiwa ni kuzipa maeneo ya kufanya kazi na mipaka yao basi

Sasa hili la wameru kuwa wana ubishi wa kijinga limetoka wapi tena?

Ina maana wenye daladala huko Arusha ni wameru tu? au wachangiaji wote humu JF wanachangia hii mada kinyume na unavyotaka ni wameru?


Acha mambo ya ukabila, jadili madailiyop mezani.
 

AAisee leo nimepakia hicho kipikipiki cha magurudumu matatu bila kutegemea. Nimeshuka mwili unauma kila mahali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…