kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
Kwa kweli Inabidi ufike wakati watanzania tuweke mazoea pembeni..ivi kama huna kosa,gari liko sawa kila kitu huyo trafic akukamate tu.Ingekuwa amri yangu ningepiga matufuku daladala zote maana hakuna hata moja iliyokamilika..iki tuanze upya na asiyetaka aache.pambafuuHabari wakuu,
nimeipata hii taarifa ambayo sio rasmi kuwa kesho tarehe 14/09/2016 daladala za Daressalaam zinatarajia kugoma. Madai ni kukithiri kwa faini za barabarani au wengine wanaita vyeti au kifurushi cha wiki pia kitendo cha madereva wanapelekwa selo kwa kosa la barabarani kila kukicha.
Madereva wanahamasishana kwa SMS kutotoa gari kesho na endapo dereva akijifanya kukaidi gari lake litavunjwa vioo kwa kupigwa na mawe.
Haya wale wenzangu na mimi watumiaji usafiri wa uma nawaasa kuwahi kutoka ili kuepuka usumbufu.
Siku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndalaKwa hiyo wanataka wasikamatwe na kupigwa faini au kuwekwa ndani wakifanya makosa ya barabarani, kwa hili nipo upande wa serikali
Kama mlivyoshuhudia kupatwa kwa jua kesho asubuhi daladala sijui watakula wapiTusubiri hiyo kesho tushuhudie live
ndio vijana wanavyoita hivyo au wengine wanaita mkeka. wanafananisha ile notification ya traffic ya electronic na lile karatasi la ku bet.Hahaah eti kifurushi cha wiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuvaa ndala na kuendesha chombo cha moto ni makosa sasa wewe ulitaka huyo mhalifu aachwe bila kuchukuliwa hatua?Siku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndala
Dah....namhurumia sana JPM...ana kazi kubwa sana..[emoji4]Siku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndala
Kwa hiyo wanataka wasikamatwe na kupigwa faini au kuwekwa ndani wakifanya makosa ya barabarani, kwa hili nipo upande wa serikali
Ni kosa kuendesha gari ukiwa umevaa ndalaSiku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndala
Hata sendoz haziruhusiwi sembuse ndala.Siku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndala
Tomaso on it's quality!!Tusubiri hiyo kesho tushuhudie live