Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,042
- 2,417
Uko Dar mkuu? Umeisha ona jinsi polisi walivo wengi barabarani? Wanakukamata hata kama body imebonyea kidogo, sijui indicator, sijui break, sijui triangle na mbaya zaidu unakamatwa hapa, unaenda km 2 unakutana na wengine same thingKwa hiyo wanataka wasikamatwe na kupigwa faini au kuwekwa ndani wakifanya makosa ya barabarani, kwa hili nipo upande wa serikali
Kwa kweli Inabidi ufike wakati watanzania tuweke mazoea pembeni..ivi kama huna kosa,gari liko sawa kila kitu huyo trafic akukamate tu.Ingekuwa amri yangu ningepiga matufuku daladala zote maana hakuna hata moja iliyokamilika..iki tuanze upya na asiyetaka aache.pambafuu
Kwa kweli Inabidi ufike wakati watanzania tuweke mazoea pembeni..ivi kama huna kosa,gari liko sawa kila kitu huyo trafic akukamate tu.Ingekuwa amri yangu ningepiga matufuku daladala zote maana hakuna hata moja iliyokamilika..iki tuanze upya na asiyetaka aache.pambafuu
Walikuwa sahihi, ni kosa kuendesha ukiwa Na kiatu kilicho wazi.!Siku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndala
Uvivu???hahaa kwa hiyo maovu yaendelee sababu tu tutafikaje kazini?kwani babu yako mzaa babu alikuwa anaenda shamba na gari lililopo km 50 kutoka kwake?wewe ndo mvivu..kama umenisoma vizuri nilimaanisha zifutwe zote then zianzishwe upya na mpya zenye utaratibu chanya..usikurupuke soma uelewrNadhani hii ni effect ya mkuu wa kaya, baba akivuta sigara ht watoto wanatamani kua Kama baba! Kwa hiyo unaona kuvipiga 'matufuku' ndio suluhisho? Alafu watoto wetu wataendaje shule, na sisi vibaruani tutafikaje! Waza hata kdg usiwe mvivu hivi!!
Siku hizi askari wamezidi, juzi kuna mtu kapigwa faini kisa kavaa ndala
Mimi pia lazima niseme jaman,makosa yote hayo ukiwa nchi za wenzetu gari hiyo hairuhusiwi kuwa barabaraniUko Dar mkuu? Umeisha ona jinsi polisi walivo wengi barabarani? Wanakukamata hata kama body imebonyea kidogo, sijui indicator, sijui break, sijui triangle na mbaya zaidu unakamatwa hapa, unaenda km 2 unakutana na wengine same thing
... utaratibu huu unaboa, unapoteza muda sana pia hata kama nia ni njema....
Hahahah[emoji15]Najua lakini kuna makosa mengine yanasameheka, tatizo siku hizi polisi wamekuwa tra