Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Bado wameendelea na mgomo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa unafanya biashara, naamini usingekuja na hii mada yako.Mkuu, kama mfanyabishara, inamuuma nini mwananchi kupandishiwa bidhaa, na pia, mfanyabishara huwa analipa yeye kpdi au kodi zote humlenga mlaji?
mpumbaKwa kawaida, mfanyabiashara huwa halipi kodi! Kwa sababu, asipouza hawezi kudaiwa kodi
Anapouza ndio hulazimika kulipa kodi, maana yake, anayekuja kununua ndiye anayelipa kodi zote, na mfanyabiashara kazi yake ni kupeleka kodi iliyotokana na njaa ya mlaji, kazi ya mfanyabishara, hufanya hesabu kabla ya kuanza kuuza bidhaa zake ili apate ya kodi ya pango, TRA, na gharama zoote ili abakiwe na faida yake
Nadhani hesabu zinawavuruga hawa wafanyabiashara, badala ya kukaa, kisha kuona ni kwanamna ipi itawalazimu kuongeza bei kwenye kila bidhaa ili wao wabaki na faida zao na maumivu ya kodi hizo anabaki nazo mlaji wao wanaweka mgomo, huo mgomo hauwahusu hata chembe
Huo mgomo iliwapasa watumia bidhaa (Walaji) ndiyo waandamane na ama kugomaa kula ili iwe sawa siyo kwa mfanyabishara kugoma, huo ni upuuzi na kuchelewesha wajinga kupata akili, wananchi wakionja joto ya jiwe ndo wataamua wao kugoma na ama wavumilie maumivu ya sera mbovu za viongozi wao!
Nikimuuliza mfanya biashara anachogomea ni kipi, hana jibu kulingana na kwamba, yeye ni wakili tu wa serikali kuwasilisha kodi kwauaminifu kutoka kwa watumiaji bidhaa
Fungueni maduka na mpandishe bidhaa ili kama yupo wa kuandamana, aandamane mwananchi mtumiaji bidhaa
nilivyosoma sentesi ya kwanza nikagundua you have no idea biashara zainafanyaje kazi. Ni bora ungeuliza kwanza kabla ya kuandika chochoteKwa kawaida, mfanyabiashara huwa halipi kodi! Kwa sababu, asipouza hawezi kudaiwa kodi
Anapouza ndio hulazimika kulipa kodi, maana yake, anayekuja kununua ndiye anayelipa kodi zote, na mfanyabiashara kazi yake ni kupeleka kodi iliyotokana na njaa ya mlaji, kazi ya mfanyabishara, hufanya hesabu kabla ya kuanza kuuza bidhaa zake ili apate ya kodi ya pango, TRA, na gharama zoote ili abakiwe na faida yake
Nadhani hesabu zinawavuruga hawa wafanyabiashara, badala ya kukaa, kisha kuona ni kwanamna ipi itawalazimu kuongeza bei kwenye kila bidhaa ili wao wabaki na faida zao na maumivu ya kodi hizo anabaki nazo mlaji wao wanaweka mgomo, huo mgomo hauwahusu hata chembe
Huo mgomo iliwapasa watumia bidhaa (Walaji) ndiyo waandamane na ama kugomaa kula ili iwe sawa siyo kwa mfanyabishara kugoma, huo ni upuuzi na kuchelewesha wajinga kupata akili, wananchi wakionja joto ya jiwe ndo wataamua wao kugoma na ama wavumilie maumivu ya sera mbovu za viongozi wao!
Nikimuuliza mfanya biashara anachogomea ni kipi, hana jibu kulingana na kwamba, yeye ni wakili tu wa serikali kuwasilisha kodi kwauaminifu kutoka kwa watumiaji bidhaa
Fungueni maduka na mpandishe bidhaa ili kama yupo wa kuandamana, aandamane mwananchi mtumiaji bidhaa
Au wanatafuta njia mbadala. Mfano wataacha kunywa bia ya kiwandani wanywe local brews ambazo ni rahisi kwa vile hazina kodi yoyoteKodi kubwa ukiwabebesha walaji wa mwisho mauzo yanapungua mno, mwisho wa siku biashara zinakufa, sababu purchasing power ya WaTz ipo chini sana!
Nilipoanza kusoma tu hapa 👆 nikaupuuza Uzi.Kwa kawaida, mfanyabiashara huwa halipi kodi! Kwa sababu, asipouza hawezi kudaiwa kodi
Akili yako ni ndogo,,,,,,unaijua efd risit? Ukipandisha Bei tax unalipa according to mauzo yakoKwa kawaida, mfanyabiashara huwa halipi kodi! Kwa sababu, asipouza hawezi kudaiwa kodi
Anapouza ndio hulazimika kulipa kodi, maana yake, anayekuja kununua ndiye anayelipa kodi zote, na mfanyabiashara kazi yake ni kupeleka kodi iliyotokana na njaa ya mlaji, kazi ya mfanyabishara, hufanya hesabu kabla ya kuanza kuuza bidhaa zake ili apate ya kodi ya pango, TRA, na gharama zoote ili abakiwe na faida yake
Nadhani hesabu zinawavuruga hawa wafanyabiashara, badala ya kukaa, kisha kuona ni kwanamna ipi itawalazimu kuongeza bei kwenye kila bidhaa ili wao wabaki na faida zao na maumivu ya kodi hizo anabaki nazo mlaji wao wanaweka mgomo, huo mgomo hauwahusu hata chembe
Huo mgomo iliwapasa watumia bidhaa (Walaji) ndiyo waandamane na ama kugomaa kula ili iwe sawa siyo kwa mfanyabishara kugoma, huo ni upuuzi na kuchelewesha wajinga kupata akili, wananchi wakionja joto ya jiwe ndo wataamua wao kugoma na ama wavumilie maumivu ya sera mbovu za viongozi wao!
Nikimuuliza mfanya biashara anachogomea ni kipi, hana jibu kulingana na kwamba, yeye ni wakili tu wa serikali kuwasilisha kodi kwauaminifu kutoka kwa watumiaji bidhaa
Fungueni maduka na mpandishe bidhaa ili kama yupo wa kuandamana, aandamane mwananchi mtumiaji bidhaa
Punguza jaziba, anza upya kusoma na uelewe mada!We ni nani? Declare interest kwanza tukujue, Kiongozi wa serikali? CCM kigogo? CCM chawa tawi la mtandaoni? Mfanyabiashara? ZAKAYO? Au mlaji wa mwisho?
Huwezi ongelea masuala ya wafanyabiashara kama wewe si mfanyabiasha, ni ujuha kudhani watu maelfu walioweka mitaji yao kwenye maduka hawana akili ila wewe ndio mwenye akili.....
Hoja yake imenza na mfanyabiashara halipi kodi hapo ndipo hoja yake inakuwa ya kijinga.Mleta uzi ana hoja, asikilizwe na ajibiwe kitaalamu na si kijingajinga kama wengi wenu mnavyomjibu.
Kwani wao "hawali"/siyo walaji?Mbona unateseka?Kwa kawaida, mfanyabiashara huwa halipi kodi! Kwa sababu, asipouza hawezi kudaiwa kodi
Anapouza ndio hulazimika kulipa kodi, maana yake, anayekuja kununua ndiye anayelipa kodi zote, na mfanyabiashara kazi yake ni kupeleka kodi iliyotokana na njaa ya mlaji, kazi ya mfanyabishara, hufanya hesabu kabla ya kuanza kuuza bidhaa zake ili apate ya kodi ya pango, TRA, na gharama zoote ili abakiwe na faida yake
Nadhani hesabu zinawavuruga hawa wafanyabiashara, badala ya kukaa, kisha kuona ni kwanamna ipi itawalazimu kuongeza bei kwenye kila bidhaa ili wao wabaki na faida zao na maumivu ya kodi hizo anabaki nazo mlaji wao wanaweka mgomo, huo mgomo hauwahusu hata chembe
Huo mgomo iliwapasa watumia bidhaa (Walaji) ndiyo waandamane na ama kugomaa kula ili iwe sawa siyo kwa mfanyabishara kugoma, huo ni upuuzi na kuchelewesha wajinga kupata akili, wananchi wakionja joto ya jiwe ndo wataamua wao kugoma na ama wavumilie maumivu ya sera mbovu za viongozi wao!
Nikimuuliza mfanya biashara anachogomea ni kipi, hana jibu kulingana na kwamba, yeye ni wakili tu wa serikali kuwasilisha kodi kwauaminifu kutoka kwa watumiaji bidhaa
Fungueni maduka na mpandishe bidhaa ili kama yupo wa kuandamana, aandamane mwananchi mtumiaji bidhaa
Kama wao ni walaji na wanaumia kiasi cha kuweka mgomo, mkuu Moisemusajiografii mbona hujawaunga mkono kuwa barabaraniKwani wao "hawali"/siyo walaji?Mbona unateseka?
Sasa Logic ndogo kama hii anashindwa kuelewa, vipi simulteneous equation atatoboa kweli?Bei zikipandishwa mauzo yanashuka huku Kodi za fremu, service levy,bima nk zipo pale pale achilia mbali marejesho ya mikopo ya Benki.
Sipo Tanzania.Kama wao ni walaji na wanaumia kiasi cha kuweka mgomo, mkuu Moisemusajiografii mbona hujawaunga mkono kuwa barabarani
NAHISI KUNA KUNDI LINAMHARIBIA MAMA.MAANA ISSUE YA SUKARI BADO HAIJAPOA,ISSUE YA BANDARI ILIPOA KIDOGO,NA SASA ISSUE YA WAFABIASHARA.NA BADO ISSUE YA WAFANYAKAZI ,NA KIINUA MGONGO.VYOTE VINAKUJA KIPINDI TUNAELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA UCHAGUZI MKUU.KUKIWA NA TUME HURU CCM INAWEZA KUANGUKA ASUBUHI SANAMauzo yakishuka maana yake kuna mtu hataweza kula, kuvaa, kujenga na kushindwa kabisa kujikimu kimaisha, na hapo ndipo kutakapotokea hasira za wananchi kudai haki zao
Wao wafanyabishara inawahusu nini maumivu ya walaji?
Mmmhh!Naweza kusema kwamba, tunahatua kubwa sana kujifunza kutoka kwa majirani zetu Kenya! Kodi na ama ongezeko lolote la kikodi, humlenga moja kwa moja mlaji na siyo mfanya biashara!
Kwa upande mwingine, maandamano ya majirani zetu, ni sahihi na siyo haya ya wafanyabiashara wa Kariakoo!
Kwa kawaida, mfanyabiashara huwa halipi kodi! Kwa sababu, asipouza hawezi kudaiwa kodi