Hadi Sasa ni saa 2:24 asubuhi maduka mengi hayajafunguliwa.
Licha ya Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, kuwasisitiza Wafanyabiashara wa Kariakoo kuendelea na shughuli zao kama kawaida, hadi Saa 9 Asubuhi Wafanyabiashara wengi wamefunga Biashara zao katika Mitaa ya Kariakoo, leo Juni 24, 2024
Awali, Chalamila akizungumzia taarifa za mgomo wa Wafanyabiashara wa #Kariakoo alisema "Yawezekana Wafanyabiashara wana Malalamiko ya dhati kabisa lakini Masuala ya mgomo yasichukuliwe kuwa ni jambo la pamoja."
Taarifa ya mgomo ilianza kusambaa kupitia vipeperushi ambavyo havikuwa na jina la Mwandishi, Juni 22, 2024 na sababu zilizotajwa ni kupinga masuala ya Kodi Kandamizi.
========
Pia, soma
==============
Majira ya Saa 4:40 Asubuhi (Saa Nne Asubuhi)

- MGOMO: Wafanyabiashara Kariakoo kufunga biashara zao kuanzia 24/6/2024 mpaka changamoto zao zitakapotatuliwa'
- RC Chalamila: Wafanyabiashara wa Kariakoo wajitafakari, migomo siyo suluhisho