Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
Tuko mitaani na tutawajulisha kila kinachoendelea.

Je baada ya Mkwara wa Polisi na mipasho ya Chalamila hali ikoje?

PAMOJA TUNAJENGA TAIFA.

View attachment 3024305View attachment 3024306View attachment 3024307
Screenshot_20240624_084147_Parallel Space.jpg
 
Safi, hii ni ishara nzuri ya kuonesha ukomavu na msimamo dhahiri kwa wafanyabiashara.
Hii nchi haiwezi kwenda kwa maneno bila vitendo.
Siasa uchwara zimezidi kwenye maisha ya watu.
Ni muda sasa wa viongozi kusikiliza na kuzitafutia suluhisho chanya hoja za wafanyabiashara.
 
Nyie gomeni wote , ila watu wa karume nsiwakwaze !
Wakigoma tunafanyaje sasa wakati huko ndo angalau tunaweza kupata Gucci na Versace kwa bei nafuu !
 
Robert

Tafuta machinga unayemjua muulize kafungua? Kama alikuambia, alikuambia kukufurahisha.

Hukuona zile siku tatu?
Kweli machinga wamefungua....mgomo huu hauwahusu.
Nipo K.Koo muda huu..

Machinga wana umoja wao...na kero zao.
Machinga hawana hata EFD...
Machinga hawalipi Service levy...
Machinga hawasumbuliwi na TRA...

Wamefungua na wanafanya biashara kama kawaida.

Walio funga hadi muda huu ni wamiliki wa maduka
 
Back
Top Bottom