Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kifupi unamkumbusha asipagawe mtandaoni 😁Avatar sio mimi, mwandiko sio wangu ni wa simu, kiufupi mi sio mimi
Tutajie baadhi ya hayo majina ya hizo familia na sisi tuyajue ukiwa na ushahidi kamiliNchi imekuwa Chachuu.
Kodi zetu zinanufaisha baadhi ya familia vizazi na vizazi vyao.
RobertKiongozi wa wafañyabiashara wa Kariakoo lakini kakanusha.
Sasa hilo tangazo la kuwa kutakuwa na mgomo lilitolewa na nani?
🤣🤣🤣🤣Jana nilikuwa huko Kariakoo.
Kuna mgawanyiko baina ya Wafanyabishara.
Wapo watakaofungua na wapo watakaofungua.
Nilisikia Machinga wakisema wao sio wafanyabiashara. Wao wana umoja wao hivyo wao watafungua.
Wamachinga ni wale wenye vimeza wanaokaa na kuziba njia
Picha tafadhali
Hiyo quote wameifuta?Kwa kifupi unamkumbusha asipagawe mtandaoni 😁
Tayari Wabongo washaamkaHii nchi watu msipokuwa na misimamo, mnawaza kunyanyasika sana.
Kiongoz wa wabiznez wa kariakoo yule alivaa tshirt za 2025 na team yake?Kiongozi wa wafañyabiashara wa Kariakoo lakini kakanusha.
Sasa hilo tangazo la kuwa kutakuwa na mgomo lilitolewa na nani?