Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
chadema mnachokifikiria vichwani mwenu ni machafuko kila kukicha

hovyo kabisa
Kwanini Kila mara Watu wanapodai Haki na Kusikilizwa au Kudai Kupunguziwa Karaha zao kwa kutumia Njia ya Haki ya Mgomo au Maandamano..
Huwa tunafikiria Negative au Tunafikiria Kuwa Ni CHADEMA??

mimi ni CCM ila niko Pamoja na wafanyabiashara wote
 
Walipoonekana wamekaa na kupanda chopa moja na Mabowe waliosoma Cuba wakaelewa, ila nyumbu bado wako kwenye usingizi wa pono.

Pole Lisu ukipona achana kabisa na kutaka uenyekiti wa Chadema , sumu haionjwi
 
Daaah mawinga wamepoa tu hawaelewi dadekii, hii migomo hii.

Kuna watu leo wanalala njaa.

Mpaji Mungu hali ikoje kwa upande wako??
Wakikaza mpaka sasa tano kamili itabidi mnisaidie nauli ya kurudi nyumbani!

Sema mpaka saivi wamekaza frame baadhi zilizofunguliwa ni za mafundi simu....kama unahitaji mzigo unafata store Moja Kwa moja
 
Kumbe bado mnauza kwa kificho na tumekubaliana hakuna biashara!!?

Kuna dalili za kufungua leo??
 
Kumbe bado mnauza kwa kificho na tumekubaliana hakuna biashara!!?

Kuna dalili za kufungua leo??
Issue sio kuuza kwa kificho....Kuna wateja kutoka Congo huyo hajui mambo ya mgomo yy jioni anataka delivery note ndo akupe chako sasa utafanyaje?

Sioni dalili, police wapo wanapiga patrol
 
Back
Top Bottom