Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
Hii nchi tuuzeni tugawane hela!
DP WORLD watafu
Jana nilikuwa huko Kariakoo.
Kuna mgawanyiko baina ya Wafanyabishara.
Wapo watakaofungua na wapo watakaofungua.

Nilisikia Machinga wakisema wao sio wafanyabiashara. Wao wana umoja wao hivyo wao watafungua.

Wamachinga ni wale wenye vimeza wanaokaa na kuziba njia
Umeandika Kwa kurudia rekebisha
 
Mwenyekiti wao wa "MAMA TUVUSHE 2025" akafungue duka lake yeye na Chalamila. Si ndo wanajifanya wanawaamulia watu matakwa yao!
Usikute hana hata kiduka cha peremende ila maCCM yamemuweka pale ili kuzuia harakati zozote za wafanyabiashara katika kujikomboa na ukandamizaji wa CCM.
Police waende wakafungue maduka sasa
 
1. Njia moja wapo ya kuitafuta haki halisi, ni kuigomea haki bandia au fake..

2. Tukimaliza kariakoo kwa wafanyabiashara, tupewe ratiba ya mwaka mzima ya kutaka haki halisi ya masuala mengine yakimkakati ambayo hayajaenda Sawa..
 
Sasa imekuaje tena mbona mgomo umerindima?
IMG-20240624-WA0024.jpg
IMG-20240624-WA0022.jpg
 
Attachments

  • IMG-20240624-WA0018.jpg
    IMG-20240624-WA0018.jpg
    88.3 KB · Views: 1
Jana nilikuwa huko Kariakoo.
Kuna mgawanyiko baina ya Wafanyabishara.
Wapo watakaofungua na wapo watakaofungua.

Nilisikia Machinga wakisema wao sio wafanyabiashara. Wao wana umoja wao hivyo wao watafungua.

Wamachinga ni wale wenye vimeza wanaokaa na kuziba njia
Na hili ndio tatizo la watanzania.

"No matter who you with or where you're at, or where to
"There's always gon' be three little pigs livin' near you"

Joyner Lucas
 
Jana nilikuwa huko Kariakoo.
Kuna mgawanyiko baina ya Wafanyabishara.
Wapo watakaofungua na wapo watakaofungua.

Nilisikia Machinga wakisema wao sio wafanyabiashara. Wao wana umoja wao hivyo wao watafungua.

Wamachinga ni wale wenye vimeza wanaokaa na kuziba njia
Sasa machinga anafungua duka !?? ....
 
Back
Top Bottom