Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaview nakusepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huu uzi Wakenya hawata uona
lets wait and seeKazi kwao Independent Police Oversight Authority(IPOA), hizi sio zile enzi za zamani Commanding Officers siku hizi wanafikishwa mahakamani kwasababu ya 'conduct' ya wadogo zao.
Kazi kwao Independent Police Oversight Authority(IPOA), hizi sio zile enzi za zamani, Commanding Officers siku hizi wanafikishwa mahakamani kwasababu ya 'conduct' ya wadogo zao.
na hapo ilikuwa uhuruto wanalinda maslahi yaoLadba kama command siyo ya kulinda maslahi ya kina uhuruto, lakini kama ni maslahi yao hutaona hata mtu akiguswa sijui eti alitoa command.
alafu hii kweli kabisaKenya kila mtu ni dictator..kuanzia raia..polisi hadi raisi
hawezi kushtakiwa kwa sababu alikuwa analinda maslahi ya kenyataNasubiriwa kushitakiwa kwa yule aliyetoa amri ya kichapo kwa waandamanaji.
huo ndio ukweli mkuuInaonekana KQ inapumulia mashine..kungekuwa na neema haonwafanyakazi wasingegoma kuungankshwa na KQ
sidhan kama kuna mtu atakataa taasisi yake iunganishwe na BOT, nachoona wanataka kulinusuru hilo shirika kwa dizaini hyo
sidhan kama kuna mtu atakataa taasisi yake iunganishwe na BOT, nachoona wanataka kulinusuru hilo shirika kwa dizaini hyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manyang'au wanadai ndiyo maendeleo, na Wadanganyika tuyaige! Ndorobo kabisa hao 😀😀😀