Mgomo wa Wafanyakazi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta: Polisi watembeza kipigo hadi kwa abiria

Mgomo wa Wafanyakazi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta: Polisi watembeza kipigo hadi kwa abiria

Terrible behaviour from our primitive police
 
Kazi kwao Independent Police Oversight Authority(IPOA), hizi sio zile enzi za zamani, Commanding Officers siku hizi wanafikishwa mahakamani kwasababu ya 'conduct' ya wadogo zao.
 
Kazi kwao Independent Police Oversight Authority(IPOA), hizi sio zile enzi za zamani, Commanding Officers siku hizi wanafikishwa mahakamani kwasababu ya 'conduct' ya wadogo zao.

Ladba kama command siyo ya kulinda maslahi ya kina uhuruto, lakini kama ni maslahi yao hutaona hata mtu akiguswa sijui eti alitoa command.
 
Kenya kila mtu ni dictator..kuanzia raia..polisi hadi raisi
 
Nasubiriwa kushitakiwa kwa yule aliyetoa amri ya kichapo kwa waandamanaji.
 
Inaonekana KQ inapumulia mashine..kungekuwa na neema haonwafanyakazi wasingegoma kuungankshwa na KQ
 
Manyang'au wanadai ndiyo maendeleo, na Wadanganyika tuyaige! Ndorobo kabisa hao 😀😀😀
 
Back
Top Bottom