utakuwa na matatizo ya akili ama unafurahia wenzako kumeza vitini tu pasipo mafunzo ya vitendo.kimsingi hakuna mgomo udom vjn jiaendaeni na ue mlikua wapi cku zote acha kushambulia waalimu nyie mnafundishwa na nani huko mgomo una hatua na sio kukurupuka kama CIVE huo sio mgomo ni riot take care na acha uchochezi but sory 4that
mjomba if u dot knw anything u beta shut up!haujui udom next tym think b4 u act!Kawambwa ni mwanasiasa tu, hivyo dogo wewe wasikilize TCU zaidi kwani wao ndio wanajua umuhimu wa field kwenu nyinyi hapo social science, mimi ninavyojua kuna Degree program nyingine haziitaji kwenda field na kauli yako ninaipinga kwani siamini kama ni college nzima ya social science haitaenda field kwani ninavyojua kuna program nyingine hapo au miaka mingine (mwaka wa pili) lazima waende field (BA with education), Acha kuwasikiliza sana wanasiasa, kawambwa ni Engineer so hawezi kujua umuhimu wa field kwa mtu anaesomea history na kiswahili sasa hapo field ya nini mkuu.
stup***d, discuss issue za msingi hiyo haikusaidiichuo UDOM kiko social kijana njie mmegoma siklu tisa hata mjumbe wa jumba kumi hajaja si tumegoma siku 3 serekali nzima imehamia social nakushauri ufanye utataifi sahihi
Hata ukikataa sote tumesoma tunajua hulka ya wanachuo, na baadh ya wanachuo tunawafahamu,hapa hawa vjana wanachotaka ni pesa ya field..field kufanya si tatizo,tatizo ni pesa..wameishiwa boom tu hao.kabla ya kuandika mhimu kujua nini unataka kuandika na nani unamuandika na unachokiandika uwe unakijua vizuri swala sio kunyimwa hela ya field swala nikwamba baadhi ya coz zimenyimwa field
owkey nlizani nawewe upo chuo kama haupo ni sawaNyinyi ndiyo mnahusika. Ukweli na uongo ndiyo muulete jamvini. Lakini mada inabaki pale pale kuwa udom si shwari tena. Kama si kweli kanusha hilo kingxvi
Hata ukikataa sote tumesoma tunajua hulka ya wanachuo, na baadh ya wanachuo tunawafahamu,hapa hawa vjana wanachotaka ni pesa ya field..field kufanya si tatizo,tatizo ni pesa..wameishiwa boom tu hao.[/QUOTE
Acha kuwa na fikra mgando,unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,kama field haki yao kwanini uwapinge,wanahaki ya kudai kwenda field kama inatakiwa sambamba na kupewa fedha,hiyo ni haki yao wanatakiwa waipiganie kwa garama yoyote.