Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

kimsingi hakuna mgomo udom vjn jiaendaeni na ue mlikua wapi cku zote acha kushambulia waalimu nyie mnafundishwa na nani huko mgomo una hatua na sio kukurupuka kama CIVE huo sio mgomo ni riot take care na acha uchochezi but sory 4that
utakuwa na matatizo ya akili ama unafurahia wenzako kumeza vitini tu pasipo mafunzo ya vitendo.
 
Kawambwa ni mwanasiasa tu, hivyo dogo wewe wasikilize TCU zaidi kwani wao ndio wanajua umuhimu wa field kwenu nyinyi hapo social science, mimi ninavyojua kuna Degree program nyingine haziitaji kwenda field na kauli yako ninaipinga kwani siamini kama ni college nzima ya social science haitaenda field kwani ninavyojua kuna program nyingine hapo au miaka mingine (mwaka wa pili) lazima waende field (BA with education), Acha kuwasikiliza sana wanasiasa, kawambwa ni Engineer so hawezi kujua umuhimu wa field kwa mtu anaesomea history na kiswahili sasa hapo field ya nini mkuu.
mjomba if u dot knw anything u beta shut up!haujui udom next tym think b4 u act!
 
Nani alaumiwe uongozi wa chuo, TCU ama serikali kwani uongozi wa chuo usema hauusiki na uamuzi huo wa kutokwenda chuo uku afisa wa TCU akikana kwamba hao hawausiki wakati akiojiwa live ktk kipindi cha radio na Zembwela.
Hali ni tete who is behind na tangazo kuwa hakutakuwepo kwa field.
 
Duh!hcho chuo ni balaa..mtu atajuaje kama ameelewa pasipo kwenda fild wajamen!!
 
chuo UDOM kiko social kijana njie mmegoma siklu tisa hata mjumbe wa jumba kumi hajaja si tumegoma siku 3 serekali nzima imehamia social nakushauri ufanye utataifi sahihi
stup***d, discuss issue za msingi hiyo haikusaidii
 
Field/mafunzo kwa vitendo ni muhimu kama kozi zingine za darasani. Lakini si dhani kama mgomo ndo jibu la tatizo lenu. Think twice and be creative in solving prblms.
 
Mgomo UDOM!? kweli inashangaza. Halafu yaelekea hamjajipanga na chuo chenu cha kisiasa hicho. Elimu gani isiyo na mafunzo kwa vitendo. Imekula kwenu mtauzika kwa tabu sana ndugu zangu.
 
Kuna kila dalili chuo kikuu cha dodoma kukaibuga mgogoro mkubwa. Hivi sasa bunge la wanafunzi la coleji ya sayansi za jamii linaendelea. Wanapanga kufanya maandamano jumatatu ya kumuona ama waziri mkuu au waziri wa elimu ili kutoa kilio chao cha kunyimwa pesa za mafunzo kwa vitendo kama ilivyokuwa imeahidiwa na waziri mkuu kupitia kwa waziri wa elimu.

Kuna uwezekano wiki ijayo tukashuhudia vurugu na mapambano mengine baina ya wanachuo na polisi. Ngoja tuone mwisho wake. Sijui kama polisi watuwaruhusu wanachuo hawa waandamane hadi bungeni kama wanavyopanga.
 
dah! "we love our country but our country don't lv us" watawala wetu wametumia elimu tulizowasomesha kwa kodi zetu kutusaliti kwa nguvu zote. Haya ya UDOM ni nn tena watz? saa inakuja watawala wote mkae chonjo, kwa kuwa hamjui saa wala wakati ambao nguvu ya UMMA itakapokuja kwenu, kwani itakuwa ni kilio na kusaga meno, nyie endeleeni kujimwagia Petrol na kuogea mafuta ya taa karibu na moto tu.Mungu ibariki TZ, MUNGU ibariki CDM.
 
kabla ya kuandika mhimu kujua nini unataka kuandika na nani unamuandika na unachokiandika uwe unakijua vizuri swala sio kunyimwa hela ya field swala nikwamba baadhi ya coz zimenyimwa field
 
Nyinyi ndiyo mnahusika. Ukweli na uongo ndiyo muulete jamvini. Lakini mada inabaki pale pale kuwa udom si shwari tena. Kama si kweli kanusha hilo kingxvi
 
kabla ya kuandika mhimu kujua nini unataka kuandika na nani unamuandika na unachokiandika uwe unakijua vizuri swala sio kunyimwa hela ya field swala nikwamba baadhi ya coz zimenyimwa field
Hata ukikataa sote tumesoma tunajua hulka ya wanachuo, na baadh ya wanachuo tunawafahamu,hapa hawa vjana wanachotaka ni pesa ya field..field kufanya si tatizo,tatizo ni pesa..wameishiwa boom tu hao.
 
Kuna thread nyingine inaeleza issue ni wenzao kukosa field ili hali waziri alishawa ahidi kwenda field wakati ule wa mgomo mwaka jana, mbona ninyi mnapingana? Jojo, Kibunda na Kingxvi
 
hawa vijana wa UDOM bhana,walisema udsm wagomvi,cjui tunaleta chuo mbadala,nachona UDOM ni chuo kitakachokuja kuisumbua sana serikali kama hawatawasikiliza hawa waungwana,hapo ni robo,subirin wafike elfu 40. .UDOM polen kwa matatizo jamani.
 
Nyinyi ndiyo mnahusika. Ukweli na uongo ndiyo muulete jamvini. Lakini mada inabaki pale pale kuwa udom si shwari tena. Kama si kweli kanusha hilo kingxvi
owkey nlizani nawewe upo chuo kama haupo ni sawa
 
Jamani wana UDOM hebu tuambieni vizuri, ni kweli field imefutwa kwenye hiyo college ya social au ndo maneno tu kwa sababu mpo humu jamvini na kila mtu ajue kwamba na wewe kumbe mwanachuo. Ninavyojua mimi kama field ipo lazima mwende lakini kama waziri aliwaambia mtakwenda basi hakumaanisha wote, wengine mnasoma kiswahili na historia sasa jamani field za nini? Kama mngekuwa mnataka mwende field basi mngeomba Engineering kwani huko lazima uende na si mpaka waziri aseme,
Mnaodai mwende field kimsingi hamna sifa za kwenda field ndo maana mnakomalia kufanya fujo, someni jamani na fuateni taratibu za chuo kila siku tuwasome nyinyi tu humu jamvini, mbona wenzenu wa mzumbe, sua, udsm wapo kimya au nyinyi ndo mnastahili mwende field peke yenu, UDSM wanafunzi wa mwaka wa kwanza BCOM huwa hawana field je mmesikia wamegoma? acheni ujinga someni madogo
 
Daini haki kama kweli haki yenu,msomi yoyote aliyeeelimika huwa anadai haki na kuisimamia,ni bora kufa kishujaa ukidai haki kuliko ukifa umekaa usipiganie haki.
 
Hata ukikataa sote tumesoma tunajua hulka ya wanachuo, na baadh ya wanachuo tunawafahamu,hapa hawa vjana wanachotaka ni pesa ya field..field kufanya si tatizo,tatizo ni pesa..wameishiwa boom tu hao.[/QUOTE

Acha kuwa na fikra mgando,unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo,kama field haki yao kwanini uwapinge,wanahaki ya kudai kwenda field kama inatakiwa sambamba na kupewa fedha,hiyo ni haki yao wanatakiwa waipiganie kwa garama yoyote.
 
Back
Top Bottom