Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

Mgomo wanukia UDOM wa kutokuwa na field

Jamani wana UDOM hebu tuambieni vizuri, ni kweli field imefutwa kwenye hiyo college ya social au ndo maneno tu kwa sababu mpo humu jamvini na kila mtu ajue kwamba na wewe kumbe mwanachuo. Ninavyojua mimi kama field ipo lazima mwende lakini kama waziri aliwaambia mtakwenda basi hakumaanisha wote, wengine mnasoma kiswahili na historia sasa jamani field za nini? Kama mngekuwa mnataka mwende field basi mngeomba Engineering kwani huko lazima uende na si mpaka waziri aseme,
Mnaodai mwende field kimsingi hamna sifa za kwenda field ndo maana mnakomalia kufanya fujo, someni jamani na fuateni taratibu za chuo kila siku tuwasome nyinyi tu humu jamvini, mbona wenzenu wa mzumbe, sua, udsm wapo kimya au nyinyi ndo mnastahili mwende field peke yenu, UDSM wanafunzi wa mwaka wa kwanza BCOM huwa hawana field je mmesikia wamegoma? acheni ujinga someni madogo[/QUOehemu ya shule,TE]

Kama haki yao kwanini wasidai?mimi sioni tatizo kama kweli inatakiwa waende field mana ni sehemu ya shule,wasomi wa sashivi si wale wa chama kimoja mkuu,hawogopi,wanajua haki zao na hawa ndiyo wasomi tunaowaitaji si wasomi wa funika kombe mwanaharamu apite.IPIGIENI HAKI YENU KWA GARAMA YOYOTE ILE.
 
gomeni bila ivo hamtaenda field had mnaondoka chuo.tanzania bila kugoma haki haipatikani.kila la kheri.
 
Jamani wana UDOM hebu tuambieni vizuri, ni kweli field imefutwa kwenye hiyo college ya social au ndo maneno tu kwa sababu mpo humu jamvini na kila mtu ajue kwamba na wewe kumbe mwanachuo. Ninavyojua mimi kama field ipo lazima mwende lakini kama waziri aliwaambia mtakwenda basi hakumaanisha wote, wengine mnasoma kiswahili na historia sasa jamani field za nini? Kama mngekuwa mnataka mwende field basi mngeomba Engineering kwani huko lazima uende na si mpaka waziri aseme,Mnaodai mwende field kimsingi hamna sifa za kwenda field ndo maana mnakomalia kufanya fujo, someni jamani na fuateni taratibu za chuo kila siku tuwasome nyinyi tu humu jamvini, mbona wenzenu wa mzumbe, sua, udsm wapo kimya au nyinyi ndo mnastahili mwende field peke yenu, UDSM wanafunzi wa mwaka wa kwanza BCOM huwa hawana field je mmesikia wamegoma? acheni ujinga someni madogo
We unapayuka pumba zako tu hujui hata unachokichangia. Kwa taarifa hizo koz ndizo zenye field, sasa unaposema wataendaje ni mshangao! Pia ya mzumbe waachie Mzumbe maana hata mfumo wao wa field uko tofaut na UDOM wakati wao wanaenda semester nzima Udom siyo zaidi ya wiki nane. Nakushauri pata habari kamili ndipo uchangie.
 
Ninachojua mimi kila degree ya chuo kikuu inapaswa kuwa na mafunzo kwa vitendo (field training). Wanafunzi hawaendi field hizo kwa sababu pesa hakuna. Fedha nyingi zinaenda kwenye posho za wabunge, warsha na semina za vigogo serikalini, ruzuku kwa vyama vya siasa, magari ya anasa ya wabunge, vigogo serikalini, kuwapangia hoteli mawaziri, ziara za jk ughaibuni,malipo ya kamati za ufundi (masangoma) kutoka Nigeria, Beiruti, Sumbawanga za marais, makamu rais, waziri mkuu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, NECTA, NACTE, EWURA, EURA,ATCL, maspika wa bunge nk. nk masangoma hawa huja kufanya makafara katika maeneo ya ofisi za vigogo hao.

KWA HIYO, NO FIELD. Masangoma wameshafanya field zote. Vijana mnata field gani?
 
Ninachojua mimi kila degree ya chuo kikuu inapaswa kuwa na mafunzo kwa vitendo (field training). Wanafunzi hawaendi field hizo kwa sababu pesa hakuna. Fedha nyingi zinaenda kwenye posho za wabunge, warsha na semina za vigogo serikalini, ruzuku kwa vyama vya siasa, magari ya anasa ya wabunge, vigogo serikalini, kuwapangia hoteli mawaziri, ziara za jk ughaibuni,malipo ya kamati za ufundi (masangoma) kutoka Nigeria, Beiruti, Sumbawanga za marais, makamu rais, waziri mkuu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, NECTA, NACTE, EWURA, EURA,ATCL, maspika wa bunge nk. nk masangoma hawa huja kufanya makafara katika maeneo ya ofisi za vigogo hao.KWA HIYO, NO FIELD. Masangoma wameshafanya field zote. Vijana mnata field gani?
Hii kali wanga wanatoka Beiruti
 
Tatizo ni kuingiza siasa hata kwenye mambo ya taaluma. Hapo ndipo serikali yetu imekosea. Sijui mambo ya elimu ya juu yataishia wapi. Kila kukicha serikali inahakikisha wanafunzi hawapiti elimu ya kuwakomboa fikra zao ili wawe na ujasiri wa kudai haki zao. Ngoja tuone!
 
ila wajameni msiwalaumu tcu hawahusiki na lolote, wala managemaent ya chuo haihusiki manake wao pia wapo side ya wanafunzi baada ya kuingia hasara kubwa kuchapa vitabu vya field na kuiandaa wakijua ipo.

Lawama zitupwe kwa kawambwa na kundi lake alilokuja nalo akiwemo nahodha waje watupe majibu ya ahadi zao fekiiii
 
Maana kama waziri anaweza kuruka na kusema kuwa hakuna maandishi na taifa Tanzania haliwezi kuongoza na maneno bila ya kuwa na sheria hivyo je ni haki mtu kusoma degree bila ya field na Je kuna ulazima gani wa kufanya hivyo. Kama wao wanaona gharama basi wasianzisha UDOM
 
............UDOM ni janga lingine la kitaifa baada ya ukimwi,malaria...............
 
mda huu wanaudom wamekusanyika kujadili je wagome ama waache kwenda field. Hali ni tete kwani mpaka sasa kuna mgawanyiko wanaotaka kusiwepo na mgomo ila wasiende nyumbani kwani UE ni wiki ijayo na wasamehe field.
 
............UDOM ni janga lingine la kitaifa baada ya ukimwi,malaria...............
kweli kabisa ikiwezekana udom ipelekwe kwa babu ikapate kikombe kweli kinaaibisha elimu tz hivi kuna watu wamejaza tena kwenda udom*
 
TCU wamesema Udom waandamane ila wasisahau kitabu cha mwongozo wa masomo kwani makubaliano yalikuwa kati ya mawaziri wafuatao Pinda, Nahodha na Kawambwa na wanachuo ila uku uongozi wa chuo unasema ikifika juma tano chuo kinafungwa
 
Waalimu bwana wana matatizo by the way wanahic kama wanadharauliwa na wanafunzi wa social. Tusifikie huko udom wote ni kitu kimoja.
Hivi kumbe wenzenu wanaosoma kule College ya Education Udom,ndio mnawaita walimu?crap!,kweli nimeamini udom social,vichwan ni upepo tupu..malizeni mje mtaani na videgree uchwara vyenu vya udom mtaona!watu wamesoma Eng lakin leo ni Walimu..nyie vipi?jifunzen kwa wasomi pale udsm wote wanaheshimiana.
 
Hatimaye mgomo umepitishwa na wanafunzi na rais wa kitivo cha sayanci na jamii amepitisha mgomo kwa kauli ya wanachuo.
 
Mmh!ila tu msifanye fujo si mnajua wazee wa kazi hawapo mbali..
alafu kuna wazee wa kazi wameagizwa kutoka mikoa ya jirani kuongeza nguvu kwa lolote litakalo tokea
 
kimsingi hakuna mgomo udom vjn jiaendaeni na ue mlikua wapi cku zote acha kushambulia waalimu nyie mnafundishwa na nani huko mgomo una hatua na sio kukurupuka kama CIVE huo sio mgomo ni riot take care na acha uchochezi but sory 4that
nani kakurupuka we ticha?jiheshim
 
kweli kabisa ikiwezekana udom ipelekwe kwa babu ikapate kikombe kweli kinaaibisha elimu tz hivi kuna watu wamejaza tena kwenda udom*
mbona wako wengi 2 mkuu,hapa kwe2 bongo watu shda yao wapate cheti 2 na co knowledge,ngoja 2one demand ya products za hapo ztakuaje sokon.
 
Hivi kumbe wenzenu wanaosoma kule College ya Education Udom,ndio mnawaita walimu?crap!,kweli nimeamini udom social,vichwan ni upepo tupu..malizeni mje mtaani na videgree uchwara vyenu vya udom mtaona!watu wamesoma Eng lakin leo ni Walimu..nyie vipi?jifunzen kwa wasomi pale udsm wote wanaheshimiana.
yan hao jamaa wana ishu za ajabu sana,badala waungane wawe k2 kimoja ili wadai haki zao kwa pamoja,ndo hao wana2kanana humu jf...mbona wenzao kama udsm na sua wana umoja sana.
 
Kawambwa ni mwanasiasa tu, hivyo dogo wewe wasikilize TCU zaidi kwani wao ndio wanajua umuhimu wa field kwenu nyinyi hapo social science, mimi ninavyojua kuna Degree program nyingine haziitaji kwenda field na kauli yako ninaipinga kwani siamini kama ni college nzima ya social science haitaenda field. Kwani ninavyojua kuna program nyingine hapo au miaka mingine (mwaka wa pili) lazima waende field (BA with education), Acha kuwasikiliza sana wanasiasa, kawambwa ni Engineer so hawezi kujua umuhimu wa field kwa mtu anaesomea history na kiswahili sasa hapo field ya nini mkuu.
ivi kweli upo serious kwamba kuna degree programme hazitakiwi kufanya mafunzo kwa vitendo?NNA WASIWASI NA UFAHAMU WAKO MKUU
 
Back
Top Bottom