Ninachojua mimi kila degree ya chuo kikuu inapaswa kuwa na mafunzo kwa vitendo (field training). Wanafunzi hawaendi field hizo kwa sababu pesa hakuna. Fedha nyingi zinaenda kwenye posho za wabunge, warsha na semina za vigogo serikalini, ruzuku kwa vyama vya siasa, magari ya anasa ya wabunge, vigogo serikalini, kuwapangia hoteli mawaziri, ziara za jk ughaibuni,malipo ya kamati za ufundi (masangoma) kutoka Nigeria, Beiruti, Sumbawanga za marais, makamu rais, waziri mkuu, wakurugenzi wa mashirika ya umma, NECTA, NACTE, EWURA, EURA,ATCL, maspika wa bunge nk. nk masangoma hawa huja kufanya makafara katika maeneo ya ofisi za vigogo hao.KWA HIYO, NO FIELD. Masangoma wameshafanya field zote. Vijana mnata field gani?