Acheni hizo madogo mutagoma arafu mtafukuzwa chuo hamtapata haki zenu ulizeni wale wa mwaka juzi,alafu tafuteni wale vinala wa mgomo UDOm wako wap?kama we ni mtoto wa mkulima usizubutu utaongezea ukoo wenu umaskini kama we mtoto wa kigogo fanya ukifukuzwa utaenda ugaibuni ila chonde chonde kwa watoto wa maskini kumbukeni unaweza kupoteza ndoto zako za maisha kwani mkono wa serikali ni mrefu