Mgomo wanukia UDSM!

Mgomo wanukia UDSM!

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Hii inatokana na
-1st year kibao kukosa mkopo...
-Bei ya msoc kupanda bila wadau kushirikishwa..
-nauli za shato kupanda na uongozi uko kimya tu.
-kukosekana kwa usalama hasa mida ya ucku maeneo ya cumpus.
Source:mmoja wa wanaharakati wakereketwa{jina kapuni}.so wadau mjipange huko mliko,maana mwaka huu kuna kunji litatokea.over..
 
Tumechoka.Nchi inaelekea wapi?.Naililia nchi yangu sitaki ifike sehemu ambayo kila mmoja wetu akumbuke tulipotoka.Why always we?
 
Kama ni kwa 1st year wengi kukosa mkopo kwa nini ule Umoja we vyuo vikuu Tz wasiliangalie hili na kulisemea? Kwani mkigomaa UDSM tu watawapiga mabomu na watu kufukuzwa. Kama raisi wa Umoja huo yupo jamvini naomba alitolee ufafanuzi hili la watu wengi wa mwaka wa kwanza kukosa mkopo?
 
Aiseee waache waandamane hata wakitaka sie tulietoswa na bodi tukaongeze nguvu tutaendaa mpaka kwa jk atuambie hizo fursa wanawapa akina nani??
 
Wapigwe tuu tumechoka,Askari fanyeni yenu hatuwezi kundi dogo kutuondolea amani hapa dar ili tushindwe kufanya biashara vizuri
 
Acheni hizo madogo mutagoma arafu mtafukuzwa chuo hamtapata haki zenu ulizeni wale wa mwaka juzi,alafu tafuteni wale vinala wa mgomo UDOm wako wap?kama we ni mtoto wa mkulima usizubutu utaongezea ukoo wenu umaskini kama we mtoto wa kigogo fanya ukifukuzwa utaenda ugaibuni ila chonde chonde kwa watoto wa maskini kumbukeni unaweza kupoteza ndoto zako za maisha kwani mkono wa serikali ni mrefu
 
amsha amsha km dawa udsm msilale km I.A.A kila mwaka tunalipa registration fee na ada kila mwaka inapanda cjuo kwa nn nlikudharau udsm i love strikes kwa ajili ya haki bt am not pondamali
 
Nyie vijana wa siku hizi mnagomea Posho tu basi, maslahi ya nchi wala hamjali kiukweli vijana wa siku hizi hamna kitu kabisaaa,,,,hakuna ule msimamo na matamko kutoka vyuo vikuu, kwenye vijna wasomi wenye maono na uzalendo,siku hizi ni mkopo boom basii
 
Mmewasiliana na viongozi wenu wa serikali ya wanafunzi (DARUSO) ili wawape ufafanuzi wa nini kimetokea!? Ninachojua mimi service providers hasa wa Chakula na Usafiri huwa hawawezi kupandisha gharama bila ya kufanya consultation na utawala na DARUSO wakiwakilisha Wanafunzi... Mgomo huwa ni hatua ya mwisho kabisa baada ya mambo kushindikana kwenye meza ya majadiliano. Mmeshajadiliana!??
 
Acheni hizo madogo mutagoma arafu mtafukuzwa chuo hamtapata haki zenu ulizeni wale wa mwaka juzi,alafu tafuteni wale vinala wa mgomo UDOm wako wap?kama we ni mtoto wa mkulima usizubutu utaongezea ukoo wenu umaskini kama we mtoto wa kigogo fanya ukifukuzwa utaenda ugaibuni ila chonde chonde kwa watoto wa maskini kumbukeni unaweza kupoteza ndoto zako za maisha kwani mkono wa serikali ni mrefu

aiseeeee babayangu ID yako imenistua
 
Haitawasaidia hiyo ndg zangu! Kuna njia nyingi tu mbadala za kutatua hiyo migogoro. Uzoefu ni kwamba wanaopoteza sana mwisho wa siku ni wanafunzi.
 
Hebu tuone kama vijana wa JKT walipata mafunzo au walikuwa wakiteswa huko kambini.

NB: vijana tumieni meza ya mazungumzo yenye Msimamo mmoja.
 
Naamini vijana wa Udsm hawako tayari kuingia kwenye mgomo. Uliyosema usafiri umepanda nani kakunyetisha,pia bei ya vyakula iko palepale....acha kuupotosha umma vijana wasome na wapate maarifa tatizo mnatumika sana kisiasa...
 
Back
Top Bottom