Mgongano: Serikali Vs. Mwanahalisi - Mipaka ya Maoni?

Pambaff! Samahani moderator!

Huna haja ya kuomba samahani. Lakini naamini Shy anatania, na anawazuga hao waliomsingizia kuwa walimwamgia acid kwa sababu ya ugomvi wa mwanamke. Sasa na wale polisi walitumwa na Manumba kwa sababu ya mwanamke?

Kwa ufupi habari za uhakika ni kwamba, angalao kwa sasa Kubenea yuko salama "Tola Bora" mpaka apatikane mwanasheria wake.
 
HEEEE, imekuwaje tena? Au wanamtafutia lile sakata la kutaka kmg'oa Kikwete? Kama ni hilo, mbona polisi wanajiingiza katika mambo yasiowahusu? Tuombe mungu Kubenea awe salama.
 
Lakini bado, taarifa yake si ya kuipuuzia, wala tusiseme eti kwa sababu gazeti lingine lilisharipoti kwa hiyo asikamatwe, kamba ukatikia pembamba.

The only solution ni amwage ukweli hadharani, maana na sisi tunahitaji tujue hivyo

sina upande wowote kwa sasa, akiweza kuthibitisha OK, asipoweza let him GO to hell!

I repeat: Kama kuna uhusiano wa JK na Kubenea kama amabavyo tetesi zinavyosema, this game is starting now lets watch.......kama kweli hupo, whats going on now could be trick!. Taarifa yake ina maswali mengi, mafisasdi wote wako nje, halafu eti wanataka wamuondoe, JK has everything he got, to send them in jail, kwa nini hafanyi hivyo? angalau basi awe huru. Kuna siku tusije tukala maneno yetu wenyewe hapa.

waberoya
 
Labda ameenda kwa nyumba ndogo yake katika ile kesi yake si walisema anatembea na mke wa mtu ? Huwezi jua jamani

Kweli wewe Shy somo la "Misinformation" walilokupa limekuingia!! Yaani, waliokupa mafunzo hayo wamefaulu.
 
Lakini bado, taarifa yake si ya kuipuuzia, wala tusiseme eti kwa sababu gazeti lingine lilisharipoti kwa hiyo asikamatwe, kamba ukatikia pembamba.

The only solution ni amwage ukweli hadharani, maana na sisi tunahitaji tujue hivyo

sina upande wowote kwa sasa, akiweza kuthibitisha OK, asipoweza let him GO to hell!

I repeat: Kama kuna uhusiano wa JK na Kubenea kama amabavyo tetesi zinavyosema, this game is starting now lets watch.......kama kweli hupo, whats going on now could be trick!. Taarifa yake ina maswali mengi, mafisasdi wote wako nje, halafu eti wanataka wamuondoe, JK has everything he got, to send them in jail, kwa nini hafanyi hivyo? angalau basi awe huru. Kuna siku tusije tukala maneno yetu wenyewe hapa.

waberoya

Kwamba huna upande, haina maana kabisa, ama uko pamoja na mafisadi ama unapingana nao.

Lakini suala la mahusiano ya JK, suala la usahihi wa habari na mengineyo hayana nafasi kwa sasa, hapa hoja ni polisi kumtafuta Kubenea, wa nini? Kwani Maelezo wameshindwa? Kwani waliotajwa wanashindwa kwenda mahakamani? Kwani habari inazungumzia uhaini? kwani mabadiliko ya kisiasa ni uhaini? Kwani Yule Mzee wa Musoma aliyetaka kugombea na Mkapa mwaka 2000 alikua haini? kwani Dk. Bilali alipotaka kugombea na Karume mwaka 2005 alikosea? Mbona polisi wanapoteza muelekeo? Au ni kwa sababu Waziri wao, Laurence Masha anatajwa? Hapo ndipo utaona JK amechemsha kumpa nafasi hiyo Masha. Haiwezekani Masha aamuru watu wa JF wakamatwe na kuwekwa ndani kwa saa kadhaa kumfurahisha bosi wake EL, na sasa anatumia mguu huo huo kumsakama Kubenea
 
Bado kabisa. Waliofaulu ni wale waliomfunza Muhammad al Sahaf aliyekuwa waziri wa habari wa Iraq wakati wa utawala wa Saddam na Gulf War II. Yule alikuwa anatoa habari ya uongo ambayo ukiisikia unaweza kuiamini kwa jinsi ilivyochongwa vizuri. Misinformant mzuri akikupa habari utapata shida sana kung'amua kuwa si ya kweli. Lakini hii aliyotupa Shy hapa imekaa kimasikhara zaidi.
 
Lakini bado, taarifa yake si ya kuipuuzia, wala tusiseme eti kwa sababu gazeti lingine lilisharipoti kwa hiyo asikamatwe, kamba ukatikia pembamba.

The only solution ni amwage ukweli hadharani, maana na sisi tunahitaji tujue hivyo

sina upande wowote kwa sasa, akiweza kuthibitisha OK, asipoweza let him GO to hell!

I repeat: Kama kuna uhusiano wa JK na Kubenea kama amabavyo tetesi zinavyosema, this game is starting now lets watch.......kama kweli hupo, whats going on now could be trick!. Taarifa yake ina maswali mengi, mafisasdi wote wako nje, halafu eti wanataka wamuondoe, JK has everything he got, to send them in jail, kwa nini hafanyi hivyo? angalau basi awe huru. Kuna siku tusije tukala maneno yetu wenyewe hapa.

waberoya
---hope you didn't mean it.
---alichoandika Kubenea katika makala yake ni kitu cha kawaida sana pahala pengi penye media zenye uhuru. Kutoruhusu kitu kama hicho kuandikwa na kukinyambulisha as if it is the end of the world, ni kukosa uvumilivu katika maswala ambayo ni msingi wa kujenga demokrasia katika Taifa letu. Serikali ikitahamaki na kufungia gazeti au kumdhuru Kubenea kwa namna yoyote ile kwa article kama ile, itadhihirisha kutapatapa kwake.
 
Mungu awapige adui zake nao kama wamekuja kwa njia moja basi watawanyike kwa njia saba.,Tumuombee mpiganaji huyu.
 
Kwamba huna upande, haina maana kabisa, ama uko pamoja na mafisadi ama unapingana nao.

Lakini suala la mahusiano ya JK, suala la usahihi wa habari na mengineyo hayana nafasi kwa sasa, hapa hoja ni polisi kumtafuta Kubenea, wa nini? Kwani Maelezo wameshindwa? Kwani waliotajwa wanashindwa kwenda mahakamani? Kwani habari inazungumzia uhaini? kwani mabadiliko ya kisiasa ni uhaini? Kwani Yule Mzee wa Musoma aliyetaka kugombea na Mkapa mwaka 2000 alikua haini? kwani Dk. Bilali alipotaka kugombea na Karume mwaka 2005 alikosea? Mbona polisi wanapoteza muelekeo? Au ni kwa sababu Waziri wao, Laurence Masha anatajwa? Hapo ndipo utaona JK amechemsha kumpa nafasi hiyo Masha. Haiwezekani Masha aamuru watu wa JF wakamatwe na kuwekwa ndani kwa saa kadhaa kumfurahisha bosi wake EL, na sasa anatumia mguu huo huo kumsakama Kubenea

Mkuu Halisi,

Lakini kama anatafutwa na polisi si aende akawaone? Atafute mwanasheria wake na kuongozana naye.

Haya mambo ya kutafutwa na polisi tumeyaona kwa Mtikila, Mrema na wengine na mwisho wake haukuwa mbaya.

Wasiwasi wangu ni kwamba ni kama tunaogopa mno hata pale sheria inapochukua mkondo wake.
 
Na hasa ukizingatia kuwa Kubenea si mgeni na mambo ya polisi, kumbuka pia waliwahi kupekua ofisi zake na kuzoa makompyuta ya mezani. Pengine Kubenea anafahamu kitu zaidi ya huko kutafutwa, asingejificha tu hivihivi.
 
Mkuu Halisi,

Lakini kama anatafutwa na polisi si aende akawaone? Atafute mwanasheria wake na kuongozana naye.

Haya mambo ya kutafutwa na polisi tumeyaona kwa Mtikila, Mrema na wengine na mwisho wake haukuwa mbaya.

Wasiwasi wangu ni kwamba ni kama tunaogopa mno hata pale sheria inapochukua mkondo wake.

Mtanzania, sawa... na ndiyo maan katika habari hii baadhi wamegusia kuwa anatafuta mwanasheria wake kwanza. you are in safer hands kuwaona/kuripoti ukiwa umeshaonana na mwanasheria kuliko kindumbwendumbwe cha kujipeleka ukiwa kavu au isitoshe kupelekekwa.

Halisi hapo juu nadhani anajenga kesi kwa kutumia mifano tu katika kupinga kile kinachofanyika.... maana kama alichoandika is that critical, then there are other cases that when compared, hiyo story ya Kubenea ni cha mtoto vile..
 
Mkuu Halisi,

Lakini kama anatafutwa na polisi si aende akawaone? Atafute mwanasheria wake na kuongozana naye.

Haya mambo ya kutafutwa na polisi tumeyaona kwa Mtikila, Mrema na wengine na mwisho wake haukuwa mbaya.

Wasiwasi wangu ni kwamba ni kama tunaogopa mno hata pale sheria inapochukua mkondo wake.

Uko sahihi. Lazima ataenda, lakini wanasheria wake, Tundu Lissu yuko Tarime, Mabere Marando yuko katika msiba Dar, na ndiye aliyezungumza na polisi kwamba akimaliza mazishi atawapigia aende, lakini kabla ya wao kupigiwa wanamsumbua na kutaka aende peke yake na baadaye wamemfuata ofisini. Suala hapa si kama Mtikila na Mrema wakati ule, mazingira yanabadilika kila siku. Ni vyema kujiandaa na kuhakikisha kila kitu kiko salama.

Kwa kawaida hata wakimdhuru, au kumtesa, atazidi kupata umaarufu, lakini afya yake ni bora kuliko huo umaarufu.

Lakini jambo lingine muhimu ni kwanini iwe haraka kiasis hiki? Kuna dharura gani inayohusiana na habari iliyoandikwa? Kwanini wasisitize leo?
 
Nakubaliana na wewe kwenye mengi uliyoyaandika hapo juu.

Ila tu polisi duniani kote huwa hawana subira. Wanataka upate hofu kabla ya kukufikia.

Hapa polisi wanavunja milango na madirisha saa tisa usiku na kusumbua watoto wakati case husika si ajabu wangeweza kumpigia mtuhumiwa simu kwamba afike mwenyewe polisi.

Tuombee jambo hili liishe salama na mshindi awe utawala wa haki na sheria.
 
duh.. tumeliandika hili tangu mwanzo na jana tumewapa nyeti gazeti lake kuna kila dalili linatakiwa kufungiwa kesho (jumatatu) na kwa hakika hawataki toleo lijalo litoke (jumatano).

SK haitaji kujipeleka Polisi kwa kujitolea kama kondoo anayepelekwa machinjioni. Polisi kama wanamtaka Kubenea waende mahakamani na watoa tangazo la kutafutwa kwake kutoka na amri ya mahakama na wamuambie ni kituo gani cha Polisi anachotakiwa kwenda; mambo kuitana makao makuu ni ya kiipuuzi, Tanzania kuna vituo vingi tu na anaweza kwenda kituo chochote kuripoti.

Kinachofanywa ni kile ambacho tulikiandika huko nyuma nacho nikutishia vyombo vya habari.
 
Sasa polisi wanatoa wapi huu uchungu na haraka ya kumtafuta mtu kama walishakubaliana na mwanasheria wake?

Mambo mengine inabidi hata sisi wananchi tuyasimamie tunapoona state organs zinatumika kama walinzi binafsi wa mtu.

Kubenea inabidi aende na Mwanasheria wake maanke hata hao jamaa naona aibu kuwaita polisi,sijui ni-replace na terminology gani hapo

Mkuu Shy,

Tuko serious na hili jambo la kubenea,kama ni mzaha wako peleka vijiweni mkuu.Wala haya huwezi kuyaita maoni kabisa unless umevuta kitu jioni hii.
 
It is all about timing; kwa kadiri watu wamepeleka mawazo yao Tarime (distraction) mazingaombwe ya kweli yanafanyika kwa Kubenea. Swali ni kwanini Polisi hawataki kwenda mahakamani kwanza? Kwa wale wanaokumbuka wakati gazeti hilo lilipovamiwa mapema mwaka huu mlisikia kuwa Polisi walienda mahakamani?

Tatizo ni kuwa tumezoea/zoeshwa kuwa Polisi anaweza kuja nyumbani kwako na kusema "ufuatane na" na wewe kama mbuzi anayepelekwa gulioni unaaga familia unakwenda. Mtindo huu wa kusalimisha haki zako ndio umewapa vichwa Polisi. Wakati umefiika sasa wa kuwakatalia Polisi nguvu hizo ili aidha wakukamate (arrest you) kitu ambacho wana nguvu na wakikukatama wanafungwa na sheriia inayowata kukufikisha mahakamani vinginevyo wakuachie.

Tatizo ni kuwa hawataki kumkamata Kubenea wao wanataka awe mikononi mwao ili "awasaidie". Tatizo ni kuwa mtu anayetafutwa na kuchukuliwa kwa nguvu msaada anaotoa hauwi tena hiari balii lazima.
 
Upumzike mahali pema kaka kubenea - bado hujaandika na kuwajibu tanzania kuhusu tuhuma zako za kutembea na mke wa mtu , tuko na wewe bado -- wengine ni wanaharakati wa ukimwi na haki za wanawake
 
Back
Top Bottom