Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Labda ameenda kwa nyumba ndogo yake katika ile kesi yake si walisema anatembea na mke wa mtu ? Huwezi jua jamani
Mhuuuuum!any way na wewe ni mawazo yako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ameenda kwa nyumba ndogo yake katika ile kesi yake si walisema anatembea na mke wa mtu ? Huwezi jua jamani
Labda ameenda kwa nyumba ndogo yake katika ile kesi yake si walisema anatembea na mke wa mtu ? Huwezi jua jamani
Pambaff! Samahani moderator!
Labda ameenda kwa nyumba ndogo yake katika ile kesi yake si walisema anatembea na mke wa mtu ? Huwezi jua jamani
Lakini bado, taarifa yake si ya kuipuuzia, wala tusiseme eti kwa sababu gazeti lingine lilisharipoti kwa hiyo asikamatwe, kamba ukatikia pembamba.
The only solution ni amwage ukweli hadharani, maana na sisi tunahitaji tujue hivyo
sina upande wowote kwa sasa, akiweza kuthibitisha OK, asipoweza let him GO to hell!
I repeat: Kama kuna uhusiano wa JK na Kubenea kama amabavyo tetesi zinavyosema, this game is starting now lets watch.......kama kweli hupo, whats going on now could be trick!. Taarifa yake ina maswali mengi, mafisasdi wote wako nje, halafu eti wanataka wamuondoe, JK has everything he got, to send them in jail, kwa nini hafanyi hivyo? angalau basi awe huru. Kuna siku tusije tukala maneno yetu wenyewe hapa.
waberoya
Kweli wewe Shy somo la "Misinformation" walilokupa limekuingia!! Yaani, waliokupa mafunzo hayo wamefaulu.
---hope you didn't mean it.Lakini bado, taarifa yake si ya kuipuuzia, wala tusiseme eti kwa sababu gazeti lingine lilisharipoti kwa hiyo asikamatwe, kamba ukatikia pembamba.
The only solution ni amwage ukweli hadharani, maana na sisi tunahitaji tujue hivyo
sina upande wowote kwa sasa, akiweza kuthibitisha OK, asipoweza let him GO to hell!
I repeat: Kama kuna uhusiano wa JK na Kubenea kama amabavyo tetesi zinavyosema, this game is starting now lets watch.......kama kweli hupo, whats going on now could be trick!. Taarifa yake ina maswali mengi, mafisasdi wote wako nje, halafu eti wanataka wamuondoe, JK has everything he got, to send them in jail, kwa nini hafanyi hivyo? angalau basi awe huru. Kuna siku tusije tukala maneno yetu wenyewe hapa.
waberoya
Kwamba huna upande, haina maana kabisa, ama uko pamoja na mafisadi ama unapingana nao.
Lakini suala la mahusiano ya JK, suala la usahihi wa habari na mengineyo hayana nafasi kwa sasa, hapa hoja ni polisi kumtafuta Kubenea, wa nini? Kwani Maelezo wameshindwa? Kwani waliotajwa wanashindwa kwenda mahakamani? Kwani habari inazungumzia uhaini? kwani mabadiliko ya kisiasa ni uhaini? Kwani Yule Mzee wa Musoma aliyetaka kugombea na Mkapa mwaka 2000 alikua haini? kwani Dk. Bilali alipotaka kugombea na Karume mwaka 2005 alikosea? Mbona polisi wanapoteza muelekeo? Au ni kwa sababu Waziri wao, Laurence Masha anatajwa? Hapo ndipo utaona JK amechemsha kumpa nafasi hiyo Masha. Haiwezekani Masha aamuru watu wa JF wakamatwe na kuwekwa ndani kwa saa kadhaa kumfurahisha bosi wake EL, na sasa anatumia mguu huo huo kumsakama Kubenea
Mkuu Halisi,
Lakini kama anatafutwa na polisi si aende akawaone? Atafute mwanasheria wake na kuongozana naye.
Haya mambo ya kutafutwa na polisi tumeyaona kwa Mtikila, Mrema na wengine na mwisho wake haukuwa mbaya.
Wasiwasi wangu ni kwamba ni kama tunaogopa mno hata pale sheria inapochukua mkondo wake.

You got it right brotherPengine Kubenea anafahamu kitu zaidi ya huko kutafutwa, asingejificha tu hivihivi.
Mkuu Halisi,
Lakini kama anatafutwa na polisi si aende akawaone? Atafute mwanasheria wake na kuongozana naye.
Haya mambo ya kutafutwa na polisi tumeyaona kwa Mtikila, Mrema na wengine na mwisho wake haukuwa mbaya.
Wasiwasi wangu ni kwamba ni kama tunaogopa mno hata pale sheria inapochukua mkondo wake.
Uko sahihi. Lazima ataenda, lakini wanasheria wake, Tundu Lissu yuko Tarime, Mabere Marando yuko katika msiba Dar, na ndiye aliyezungumza na polisi kwamba akimaliza mazishi atawapigia aende, lakini kabla ya wao kupigiwa wanamsumbua na kutaka aende peke yake na baadaye wamemfuata ofisini. Suala hapa si kama Mtikila na Mrema wakati ule, mazingira yanabadilika kila siku. Ni vyema kujiandaa na kuhakikisha kila kitu kiko salama.
Kwa kawaida hata wakimdhuru, au kumtesa, atazidi kupata umaarufu, lakini afya yake ni bora kuliko huo umaarufu.
Lakini jambo lingine muhimu ni kwanini iwe haraka kiasis hiki? Kuna dharura gani inayohusiana na habari iliyoandikwa? Kwanini wasisitize leo?