Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Kuna mbwiga wengine, kila mjamzito anapasùliwa
 
Kwa hali hiyo nachelea kusema kuwa hiyo fidia ni ndogo sana
 
Uhakika ni upi. ? Kwa nini aamini katika Majibu ya Appolo na si Tanzania,,?
Kwa nini amshitaki Daktari aliyemfanyia upasuaji na si aliyetoa majibu ya kwanza.
Je ikiwa majibu ya kwanza yalikua saratani tiba yake ni ipi?
Je saratani ilikua katika tezi lote au sehemu ya tezi?
Je anajua kuwa thyroid ni tezi?
Je alijaza karatasi ya kufanyiwa upasuaji au la?
Je anadhani mill 500 inatosha kwa ajili ya fidia?
Je anajua sababu nyingine za kuharibika ngozi na kutoka nywele zinaweza kuwa zaidi ya tezi alilolitoa?
 
Unaleta huruma kwenye roho ya mtu? Alisoma kwa shida so what? Amemaliza masomo salama why asiwe makini na kazi zake?
Na ndo maana wanalipwa vizuri
Malipo wapokee mazuri na huruma tena tuwaonee??
 
Alizopewa ni sampuli za upasuaji wa pili pekee au alipewa sampuli za kwanza na za pili??
 
Wanajiona final say
Dr Shafiq alimuambia mtu hatazaa maisha yote pale Agha Khan kwa Sasa Ana watoto wawili Yule dada
Aisee nimepoteza pesa nyingi sana kwa huyu Dr ila sisi bado hatujafanikiwa,
 
Hizi kesi ni muhimu sana. Hospitali zetu kama ni raia wa kawaida ni majanga. Hizi Hospitali tukiwa tunazishtaki wataongeza umakini kwa madaktari wao. Hivi hakuna hata reviews za matibabu ya wagonjwa?
 
Professional nyingi zina quality reviews, hivi madaktari huduma zao zinapitiwa na kuchukua hatua? Bila quality review za maana kwa Professional muhimu kama hii ni hatari kubwa
 
duhhh nchi ngumu hii[emoji16][emoji16]
 
nchi ina vijana wa ovyo hii[emoji16][emoji16][emoji16]
 
in english please
 
Alizopewa ni sampuli za upasuaji wa pili pekee au alipewa sampuli za kwanza na za pili??
Sasa kama una-ashiria sampuli za pili hazikuwa na tatizo baada ya kuwa ‘malignancy’ iliondolewa na procedure ya kwanza, ni kwanini basi walifanya procedure ya pili ya total ‘thyroidectomy’? Na baada ya kumtoa hiyo tezi, kwanini hawakumpa dawa za kubalance thyroid hormones kiasi akaanza kunyonyoka nywele na ngozi kusinyaa? On top of that wakadai tena ni kansa ndio inaleta hiyo hali, hivyo akapigwe mionzi?!!! What the f*uck??!!!
 
Ule upasuaji wa kuchukua sampuli ya awali, ungetumika pia kufanya assessment ya hizo thyroid glands (exploratory surgery) kuona kama zipo kwenye normal morphology au abnormal morphology, Je, zimevimba kijumla, au kuna uvimbe au vivimbe ambavyo vimejitokeza ambavyo vinaashiria kwamba majibu ya vipimo yanaendana na kile alichokiona wakati wa kuchukua sampuli. Vinginevyo kama kulikuwa na kiuvimbe angekiondoa na kuachana nazo huku akiendelea kufuatilia hali ya mgonjwa. Jambo jingine la kujiuliza, je, hakuna kipimo kingine labda cha damu kuweza ku confirm thyroid cancer ambacho angefanya kabla ya kwenda kwenye operation ya pili ya kuziondoa tezi zote?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…