Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Kuna mbwiga wengine, kila mjamzito anapasùliwaPoleni sana. Wana JF. Kuna kitu kinachoitwa kupata ushauri mbadala kutoka kwa daktari mwingine. Msikipuuze hata kama aliyefanya dignosis ya kwanza ni dr bingwa. Kuna watu wengi sana, hata nchi zilizoendelea wamekuta ugonjwa walioambiwa na dr wa kwanza siyo wa kweli baada ya kwenda hospital nyingine na kumwona dr mwingine. Tukirudi upande wa Bongo, baadhi ya madaktari walivyo na tamaa na vilaza, wanaweza kukufanyia upasuaji ili tu wapate fedha.