grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Anhaa miungu yako ? Maana mimi Mungu wangu mmoja tu hana sifa yeyote ya kiumbe chochote halali, hali, hajazaa wala hakuzaliwa , hamtegemei yeyote katika alivyoviumba bali sisi viumbe ndiyo tunamtegemea yeye, alikuwepo na atakuwepo daima.Kaka tuache kushitaki madaktari sio sawa wale ni Miungu wa maisha yetu hapa duniani