feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
- Thread starter
- #61
Polyclinic ile ni biashara so sehemu nyingi unatafutiwa tatizo ili wapate hela kuuza dawa zao.Hii inawakuta wengi tu,, mdogo wangu poly clinic moja walimwambia mishipa ya moyo imetanuka..
Mtoto alilia hii siku,, mtu mmoja akanambia tafuteni vipimo vya hosp kama 3.
Nikaenda nae NSK Arusha, wakampima majibu ni hamna shida yoyote kwenye moyo… likizo akaenda Dar akapima tena Rabininsia, hamna kitu.
Sasa sijui wanakwama wapi