Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

ndivyo wanavyofanya hapo TMJ tunapoamrishwa tufuate vipimo,
Tena ukiwa mbishi wanakuchukua mpaka kwenye Computer yao, wanagoogle mbele yako ili kukuthibitishia usasahihi wa majibu yao!
lakini pia sioni ubaya ni sehemu ya kuongeza maarifa na kupata suport kwa kile ulichogundua.
 
Hawa madokta wetu wa bongo ndio hawa hawa tunashinda nao huku kidimbwi tena maspeshalist kabisa wakimwagilia moyo mpaka kutembea hawajiwezi ...na bangi ndio hatari zaid yan Mungu tu atusimamieee kwa kweli
 
Ndio kilichobaki, tukianza kushitakiana kidoogo umakini utakuwepo, hatukatai kukosea ndio uwanadamu lakini ni too much.

Wale kenge wa dar group sijui, walifanya uzembe kiasi dada yangu akatolewa kizazi kabisa, ndugu zangu nawaambIa tuwashughulikie, wanasema mradi katoka salama, tuache tu., mtu kakosa mtoto na kizazi wametoa😠
Ndo shida ya wabongo wamepumbazwa sana na mambo ya dini wanaamini eti kuna Mungu anayetoa haki. Msidanganywe wabongo haki inatolewa mahakamani tu. Mungu ni hekaya za Abunuwasi tu.
 
Kuna kesi ya mdada close friend pale Bosch hospital, mimba ilipimwa kwa ultrasound na kubaini kuwa the baby weighed more than 5kg, too much that she was advised to undergo CS. Alikubali coz overweight ingeweza kusababisha uhai wa mama na mtoto kuwa at risk. Mtoto anakuja kuzaliwa yupo 2.8kg.

Aisee timbwili lake sio poa, waliomba msamaha sana, watu walitaka waende mahakamani coz haiwezekani a mistake like that, ingekuwa margin ya 0.5kg hapo sawa, lakini mtu mmepima na kuona uzito wa mtoto ni zaidi ya 5kg leo anazaliwa yupo 2.8kg na kumpasua tumbo lake...
 
Au anaambiwa huna malaria anasema bwana hii malaria tu malaria yangu mi naijua mimi[emoji16]
Yaani ni shida.

Ukiwa mjanja na unataka kumsaidia basi unampa dawa zote mfano;

Unampa ya malaria [unampa kama kinga-tiba haikatai kiprofesheni] unampa na ya ugonjwa husika ya muda mfupi mfano ya UTI ya siku tatu. Ni kusaidiana tu tutafanyeje na media zinaposambaza taarifa nusunusu kama hizi ndio uaminifu unazidi kushuka yaani 😪
 
Hapa mkuu mi sijaelewa hitimisho la huyu bwana. Sababu nimesoma maelezo yake yote hajaandika kua anaumwa goita sasa mwisho kahitimisha alikua anaumwa goita na upusuaji alijua anafanyiwa goita.

Wajuzi mnisaidie pengine mm ndio cjaelewa

Reasoning yako ni nzuri, nimeona pia Mshana Jr kayaweka haya maelezo.

Si rahisi kuujua ukweli halisi wa kesi hii, mpaka umsikilize daktari aliyempokea mgonjwa na nini kilikuwa kinamsumbua mpaka kufika pale. Maana pia kuna vipimo zaidi vitakuwalikely vimefanyika kama: Ultrasound na Hormones.

Kitu ambacho kinaonekana kuwa wazi ni utofauti wa majibu ya kipimo kimoja kuhusu uwepo wa kansa au kutokuwepo. Na hii inatoka upande wa laboratory/pathology.

Nategemea haya yote yatakuwa wazi kesi itakapoendelea kusikilizwa. Ni jambo jema kuifatilia kwa makini ili kujua undani wake. Hapa ni sawa na kwenda kwenye Root Cause Analysis (RCA).

Hatukatai kuna negligence katika utendaji kwa kujua au kutokujua, lakini sasa kila mmoja ataunganisha scenario moja na nyingine ambazo unaweza kukuta mhusika hana taarifa sahihi au hakubaliani na kutokukubaliana.
 
Reasoning yako ni nzuri, nimeona pia Mshana jr kayaweka haya maelezo.

Si rahisi kuujua ukweli halisi wa kesi hii, mpaka umsikilize daktari aliyempokea mgonjwa na nini kilikuwa kinamsumbua mpaka kufika pale. Maana pia kuna vipimo zaidi vitakuwalikely vimefanyika kama: Ultrasound na Hormones.

Kitu ambacho kinaonekana kuwa wazi ni utofauti wa majibu ya kipimo kimoja kuhusu uwepo wa kansa au kutokuwepo. Na hii inatoka upande wa laboratory/pathology.

Nategemea haya yote yatakuwa wazi kesi itakapoendelea kusikilizwa. Ni jambo jema kuifatilia kwa makini ili kujua undani wake.
Muda utaamua.
 
Kuna kesi ya mdada close friend pale Bosch hospital, mimba ilipimwa kwa ultrasound na kubaini kuwa the baby weighed more than 5kg, too much that she was advised to undergo CS. Alikubali coz overweight ingeweza kusababisha uhai wa mama na mtoto kuwa at risk. Mtoto anakuja kuzaliwa yupo 2.8kg.

Aisee timbwili lake sio poa, waliomba msamaha sana, watu walitaka waende mahakamani coz haiwezekani a mistake like that, ingekuwa margin ya 0.5kg hapo sawa, lakini mtu mmepima na kuona uzito wa mtoto ni zaidi ya 5kg leo anazaliwa yupo 2.8kg na kumpasua tumbo lake...
Duh!

Inabidi pia jamii itambue kuwa vipimo vina uhisiji na uhakika tofautitofauti [sensitivity and specificity]

Ni kama ambavyo dokta Magu alipotuonyesha mfano kwa kupima mapapai.

Huwezi kuwalaumu wataalamu mojakwa moja peke yao mfano labda kipimo fulani kinahitaji urilaksi na uwe haujala wewe ukadandia daladala na ukala viazi ukifika ukapimwa ukaambiwa una tatizo tumlaumu nanii.

Kuna vipande viiiingi mno katika mnyororo wa afya ili kuleta uhakika wa majibu mazee
 
Ni sawa, lakini kwa umasikini, ufukara, utahira wa linchi kapuku kama Tanzania sio sawa kuwashitaki.

Kaka kuna madaktari wengi sana nawafahamu wamesoma kwa shida mno wametoka familia za tabu sanaa hadi leo wako hapo ni neema tu siamini sana kama ni uzembe tusiwashitaki
Sasa kama ametoka familia ya shida au amesoma kwa shida ndio asiwajibike kwa makosa ya uzembe wake?
 
Bongo kugumu sana huwa nikienda muhimbili kuona wagonjwa yaani ni hovyo hovyo tuu. Mtu unaomba maisha yako ya ugonjwa usifike pale
Nchi hii shida sana,huna Kansa,unaambiwa una Kansa!unapewa tiba ya mionzi,Ili kuua nini sasa,Bora huyu alishituka,na anapesa,je wangapi wameishapoteza maisha kwa huduma za kijinga hv
 
Vyuo vyenu vya kata hvo mara unasikia IMTU, mara sijui KAIRUKI mara moshi college of health nao wanatoa MD..

Mtu una div3 unaenda kusoma MD..? Tegemea mambo kama haya
Vyuo vimeruhusiwa na vimefuata vigezo. Alaumiwe aliyeenda kusoma na kuhitimu akaja kufanya yasiyo.

Taja chuo chochote, practice na kujiendeleza inabaki mikononi mwa mhusika na ndiye anakula kiapo.

Kuna mtaalamu alisoma very reputable universality huko Uingereza lakini bado alifukuzwa huko. Haya matatizo bado yapo hata huko mbele na si issue ya vyuo. Sijui kama unakumbuka issue ya CPR ya Michael Jackson??

tena tunakoelekea hali itakuwa mbaya maana watu wanakimbilia huko kwa sababu ya urahisi wa kupata ajira mbele ya safari tutaelewa,wengi wanakula theory ila kwenye prac ni zero huwezi amini kuna wakati unamuona daktari ila unasema hapa hamna kitu
 
Back
Top Bottom