Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kazi ya udaktari ni wito kwanza ukitanguliza maslai ndo yanatokea hayo yaliyotokeaInshu inakuja wanalipwa tsh ngapi ?.
Matatizo mengibe ni matatizo ya mfumo mzima wa nchi aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ya udaktari ni wito kwanza ukitanguliza maslai ndo yanatokea hayo yaliyotokeaInshu inakuja wanalipwa tsh ngapi ?.
Matatizo mengibe ni matatizo ya mfumo mzima wa nchi aisee
Ndio kilichobaki, tukianza kushitakiana kidoogo umakini utakuwepo, hatukatai kukosea ndio uwanadamu lakini ni too much.
Wale kenge wa dar group sijui, walifanya uzembe kiasi dada yangu akatolewa kizazi kabisa, ndugu zangu nawaambIa tuwashughulikie, wanasema mradi katoka salama, tuache tu., mtu kakosa mtoto na kizazi wametoa[emoji34]
Uko kwa wenzetu wangekua na mawazo kama haya yakwako kamwe wasingefikia level walizozifika kwenye sekta zote wanazozifanya.Kaka tuache kushitaki madaktari sio sawa wale ni Miungu wa maisha yetu hapa duniani
Ni sawa, lakini kwa umasikini, ufukara, utahira wa linchi kapuku kama Tanzania sio sawa kuwashitaki.
Kaka kuna madaktari wengi sana nawafahamu wamesoma kwa shida mno wametoka familia za tabu sanaa hadi leo wako hapo ni neema tu siamini sana kama ni uzembe tusiwashitaki
Mambo ya nyongeza ya mshahara haiusiani na uzembe sehemu ya kazi.Na bado wanaona nyongeza ya mshahara ni ndogo
Duh pole..anaendeleaje baba kwa sasa?Mzee wangu alifanyiwa vipimo TMJ Hospitali....alikua na uvimbe kwenye koo....siku anapewa majibu aliambiwa "una kansa nenda Ocean Road" imagine mzee wa miaka sitini unampa black n white hivyo...mzee wangu alitoka pale na kigugumizi tukarudi home...sitokaa nisahau ile hospitali.
Ilitokea kwa mzee wangu flani yani alikuwa anaumwa akafanyiwa vipimo figo zilionekana zina shida ila sio kwamba ndo inahitahi abadilishwe zote eehe Dr si akamropokeaa mzee figo zimekufaa hizii inabdi ufanye mpango upelekqe India mzee alipanick pressure juu hakupona aiseee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Madaktari sometimes wanazingua sanaMzee wangu alifanyiwa vipimo TMJ Hospitali....alikua na uvimbe kwenye koo....siku anapewa majibu aliambiwa "una kansa nenda Ocean Road" imagine mzee wa miaka sitini unampa black n white hivyo...mzee wangu alitoka pale na kigugumizi tukarudi home...sitokaa nisahau ile hospitali.
Madaktari wetu hawa hawa wanaokesha kidimbwi na kumwagilia moyo..[emoji119]
S
Italeta nidhamu,sio madaktari pekee,pia ofisi ya DPP unamuweka ndani mahabusu mtu miaka then unamuachia hana kesi ulimkamatia nini sasa
Mzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.Duh pole..anaendeleaje baba kwa sasa?
Pole mkuu...M/Mungu amrehemu baba yetu[emoji120]Mzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.
Kheeeeeeeh poleeeeeh babuuu.Mimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukatoka ndukiiiii.Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
Ndo hawa hawa.Madaktari wetu hawa hawa wanaokesha kidimbwi na kumwagilia moyo..[emoji119]
Hakuna kazi ambayo haikosi makosa.siku mbaya kazini ipo kwa kila mtu na kila sekta.Kinachokumbushwa kwa madaktari sio ukamilifu wao bali umakini wao.Kuna visa vingi sana vya madaktari vinavyotokana na uzembe.Hili ndilo ambalo wananchi wengi wanalolipigia kelele.Huyo daktari pengine ameshawasaidia wengi kabla ya hili kutokea, na pengine wengi tayari wanamheshimu..
Kuna vitu tunasahau, daktari huyu aliletewa majibu na pathologist na pengine alipohusianisha na dalili za mgonjwa akaona ndio tatizo alilonalo.
Kesho keshokutwa hatuombei, ukiumwa utatibiwa na daktari hapa hapa tanzania. Ukipona husemi hata shukurani ila usipopona basi daktari kilaza.
Take note: usihukumu kabla hujajua ukweli wa jambo
Kuna mamlaka zinazotoa leseni na bodi za kisimamia madaktari, wao ndio watatoa tamko sahihi juu ya hili. Mitandao inakuza sana mambo.
Mbna km Elimu imebobea, sasa alikwama wapiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au anaambiwa huna malaria anasema bwana hii malaria tu malaria yangu mi naijua mimi[emoji16]
Adhabu ikowepo hawatocheza na maisha ya watuNaunga mkono hoja. Wasicheze na maisha ya watu ati.