Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Vyuo ni vingi aisee. Mtu kasoma Certificate, Diploma alaf degree ndo awe daktari. Hapo ujue hamna kitu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hawa wa Tanzania, unakumbuka yule demu wa diamond walikuwa wanamtibu ini alipopelekwa India wakasema ni moyo na akarudi kapona vizuri kabisa.Ma doctor wa Afrika sijui huwa wanasoma wp!? Au wanasoma vitabu tofauti na wenzao !!!
Sasa ulitaka wamdanganye?Mzee wangu alifanyiwa vipimo TMJ Hospitali....alikua na uvimbe kwenye koo....siku anapewa majibu aliambiwa "una kansa nenda Ocean Road" imagine mzee wa miaka sitini unampa black n white hivyo...mzee wangu alitoka pale na kigugumizi tukarudi home...sitokaa nisahau ile hospitali.
Sasa kwenye ugonjwa kuna sababu ya kumficha mhusika?Ilitokea kwa mzee wangu flani yani alikuwa anaumwa akafanyiwa vipimo figo zilionekana zina shida ila sio kwamba ndo inahitahi abadilishwe zote eehe Dr si akamropokeaa mzee figo zimekufaa hizii inabdi ufanye mpango upelekqe India mzee alipanick pressure juu hakupona aiseee[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Madaktari sometimes wanazingua sana
Mbona kama ni ngumu kufanyiwa operation bila kuambiwa kinachoenda fanyika?
Sidhani kama hospital zote 3 zitafanya kosa hilo hilo
Ni sawa, lakini kwa umasikini, ufukara, utahira wa linchi kapuku kama Tanzania sio sawa kuwashitaki.
Kaka kuna madaktari wengi sana nawafahamu wamesoma kwa shida mno wametoka familia za tabu sanaa hadi leo wako hapo ni neema tu siamini sana kama ni uzembe tusiwashitaki
Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
Ukisoma ukiwa na njaa kali umakini unatoka wapi?Ma doctor wa Afrika sijui huwa wanasoma wp!? Au wanasoma vitabu tofauti na wenzao !!!
Kaka hakuna namna ya kumshughulikia daktari wa hivi kwa njia zetu zile?😁Mimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
Sio via Google mzee wenyewe wanaipinga hili huko duniani.unashauri Madaktari wasome
Sasa Dr wako akawa anasoma ukasusa ukatoka nje
mie sijakuelewa Mzee
Minister of Health unasisitiza Nyungu ambayo since std 1- University level hujawahi kubukua sehemu... badala ya watu wawe Vaccinated..Medical Negligence in Tanzania is the norm.
Tatizo amuelewi kipi kizuri kwenu; unakuta mtu hana ata ABC za usimamizi wa huduma za afya lakini anatukana jitihada za wengine.
Nilipowadharau watanzania ni majungu na kuacha Dr Gwajima atolewe hiyo wizara; sidhani wengi wetu tunaelewa how good she was kama angepewa backup ya raisi na serikali kubadili culture ya ufanyaji kazi kwenye hiyo wizara. She was more capable na alikuwa anajua kweli kweli yule ata ulaya anaweza simamia management ya ‘university hospital’.
Mtaalamu wa management ya afya wamempeleka social services kule sasa ndio anaropoka na kufura tu uelewa wa intervention za ile wizara ni mdogo sana.
Matatizo mengine tunajitakia wenyewe.
Hakuna Cha Gwajima Wala Nani!!Medical Negligence in Tanzania is the norm.
Tatizo amuelewi kipi kizuri kwenu; unakuta mtu hana ata ABC za usimamizi wa huduma za afya lakini anatukana jitihada za wengine.
Nilipowadharau watanzania ni majungu na kuacha Dr Gwajima atolewe hiyo wizara; sidhani wengi wetu tunaelewa how good she was kama angepewa backup ya raisi na serikali kubadili culture ya ufanyaji kazi kwenye hiyo wizara. She was more capable na alikuwa anajua kweli kweli yule ata ulaya anaweza simamia management ya ‘university hospital’.
Mtaalamu wa management ya afya wamempeleka social services kule sasa ndio anaropoka na kufura tu uelewa wa intervention za ile wizara ni mdogo sana.
Matatizo mengine tunajitakia wenyewe.
Hospital ya Rufaa Mbeya ishampima mtoto mdogo ikaonekana ana tatizo la Moyo wakampa dawa anze kutumia bahati nzuri ndugu mmoja akajiongeza na kumwambia wampeleke Dar Muhimbili Jakaya,kuja kupimwa hana tatizo la moyo ila ni kifua sababh ya baridi.Na hivi vihopsitali vilivyo mtaani wanajiita ma specialist ni vyakuogopa...Kuna hospital moja nzuri tu iko mbezi beach walimpima mtu na mashine ya ECG wakasema anatatizo la moyo anatakiwa aanze clinic muhimbili ..kufika muhimbili kwa daktari bingwa akapimwa Hana tatizo lolote la moyo...kurudia Tena sehemu nyingine hana...
Hili la dr ku-google siyo ukilaza wala jambo geni. Nimeliona mpaka majuu. Anakuwa anatafuta kutaka kujua zaidi na siyo kwamba anategemea google kumtibu mgonjwa. Tusiwe kama watu wasio na shule ukimwambia kuwa umesomea computer anategema ujue kila kitu kwenye computer kichwani mwako. Halfu kuna nchi nyingine matibabu yanaaongozwa na protocal fulani walizojiwekea na ziko kwenye database ambayo dr yoyote anaweza kui-access kwa mwongozo zaidi wakati anatibu. Hata ma-pilot wanatembea na reference zinazoelezea hatua za kutatua changamoto fulani na hawatakiwi wazikariri zote.Hapana google inasaidia kurefreshi baiolojia paaana ili kichwani kwake.
Kuna msaada fulani fulani wa vitaarifa fulani huwezi hifadhi kichwani muda wote mfano kujua kama dawa mbili hazipatani.
Na kingine intaneti upo ya leoleo [updated] tofauti na elimu ya mwaka 47 iliyo kichwani.
Haya ndio mambo yenu ya utoto yanayo wa cost watanzania in everyday life.Minister of Health unasisitiza Nyungu ambayo since std 1- University level hujawahi kubukua sehemu... badala ya watu wawe Vaccinated..