macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ila jamani naomba tukubaliane jambo moja. Tanzania kila sekta imeoza. Yaani uozo unaokutana nao kwa ma-dr hospital ndiyo huo huo utakaokutana nao kwa wanasiasa, mapolisi, mainjinia, walimu nk. Ni kwa sababu imekuwa tu kwamba makosa au ukilaza wa ma-dr una impact inayoonekana mara nyingi kuliko sehemu nyingine. Hata hili tatizo la dr tunalolalamikia hapa ni matokeo ya uongozi mbovu wa wanasiasa.Hizi Hospitali hizi, mi walitaka kumpa mwanangu dozi ya mwaka mzima ya Kifafa wakati mtoto ana degedege, nilipoingilia kati ndio wanajidai kwamba kulitokea mkamganyiko.., kidogo niwapeleke mahakamani.., ila jikaona niache tu , maana ipo siku utahitaji msaada wao, hivyo si vyema kukorofishana na hopsitali